Kwa wanawake tu: Let's face it! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanawake tu: Let's face it!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwali, Jul 13, 2012.

 1. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Leo nimekaa nikifikiria sana kuhusu suali hili:
  How natural am I? What is fake, what is not?
  Wanaume na wanawake wengi tunachukia fake
  Fake hair, nails, fake eyelashes, fake skin tone

  Lakini mbali na hayo, kuna mengine mengi tu.
  nafanya katika jina la usafi ila nadhani nimezidi
  Sijui wanawake wengine mnalichukuliaje suala hili
  Ngoja nijaribu kutoa mfano wangu binafsi kwanza:

  Naamka asubuhi, natumia toothpaste na mouthwash
  then natumia a facial scrub, a cleansing soap, tonifier
  Nikimaliza natumia a shampoo, a conditioner, lotion
  Then a mild vaginal soap (deodorizing, cleansing)

  Nikiwa na muda natumia hair cream (treatment)
  Natumia na clay au peel-off mask, soothing mask
  Nashave kwa kushave, na-tweeze kwa kutweeze
  Nawax kwa ku-wax and I apply a soothing cream

  then dressing: natumia shine control, napaka foundation
  Naweka ka makeup kwa mbali (wanja ni suna bwana)
  Nachana nywele, nazifunga sawa, deodorant, perfume,
  Navaa hijab yangu, naenda sasa kupata compliment:

  Ah Mwali, umependeza sana. hunaga makuu kama XXX
  Yani kapoda, kawanja and that's it. you are "Natural"
  But how natural are we jamani? Hata usafi wenyewe...
  Nimekua na shaka sana, nataka nijui nyie mnafanyaje.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nafanya almost everything lkn.
  1. Scrubing weekend tu.
  2. Situmii any vaginal soap
  3. Sishave miguu yangu (ingawa wengi hawaamini)

  Na nijisikia huru kujiita natural ingawa nywele nimezitreat kidogo ili kuzichana iwe rahisi.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante for your honesty. Suali langu sasa linakuja:
  Do you feel "natural"? au you feel moderately fake?
  Kama ni suala la usafi tu mbona wanaume hawatumii?
   
 4. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Fake hair, fake nails, fake......, hivyo ndivyo vinawapa wanawake wengi confidence. Imagine una nywele zako za kipilipili na huzifurahii, kwanini usitupie kiwigi chako hapo uweze jiamini.
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mwanamke lazima ujipende Mwali, na kujipenda kumetofautiana, wengine bila vitu vya ziada anaona kama hajapendeza (kucha, nyusi, etc). Kwa upande wangu vitu kama conditioners, facial scrub, na usafi wa ziada wa mwili ni once in two weeks for mazingira yaruhusu. Natumia sabuni aina moja tu toka mtoto hadi ukubwani, ngozi yangu sensitive in react negatively with foreign entity, sipaki rangi kucha za mikono wala sifugi kucha. Simaanishi sipendi urembo, minimaly naweza qualify.

  I know siwezi kuwa 100% natural, but i try to be as natural as i can get. Walau isiwe chini ya 90%.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Mwali, I'm natural and carefree. I'm extremely comfortable in my own skin. Trust me!

  But seriously, urembo ni fake! Na wanasema there is only two kinds of women, the beautiful and the lazy ones.
   
 7. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mi sijasema hata huko kote Catherine. Hair, nails.. no
  Hizo tunajua they are fake. Nauliza kuhusu huu "usafi"
  Baada ya kutumia hizo products zote tutasema I am natural?
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  I feel natural ndicho nilichosema, coz hiyo makeup kidogo nairemove usiku before sleeping n l can wet my hair any time l feel like.

  Wanaume wanashave with cream baadaye wanapaka sijui kitu ya kuzuia vipele (after shave), wanatumia deo pia, perfume etc. Na wao huscrub nyuso zao weekly.
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sabuni unaweza tumia oja tu, ila si unaosha nywele?
  Au unaosha nywele na sabuni hiyo hiyo, no conditioning?
  Haya, kucha hufugi, but maybe una-wax miguu sometimes?
  Hivyo vitu vidogo vidogo ndio nauliza kama bado ni "natural"
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I trust you King'asti.
  But as much as you keep your skin natural
  Lazima nywele uzimaintain (natural or not)
  Lazima una-spend time to remove some hair
  Lazima deodorants, perfumes etc. is it natural?
  Kama ni usafi tu mbona wanaume hawatumii?
  Wanatumia baadhi ila sisi tumezidi jamani...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Should we then say that being natural is subjective?
  Maana hata wema sepetu atakwambia she is natural
  Zile nywele ni human hair, sio synthetic (mfano)
  Kunakua na viwango vya naturalness/unnaturalness?
   
 12. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Nadhani nilitaja sabuni emphasizing kuwa as much as ningependa kutumia other products za kunyororesha ngozi inaniwia vigumu. In that case ingekuwa inawezekana ningetumia.. ukinisoma hapo dear utaona nimesema i use such products (conditioners plus shampoo) once in two weeks rarely more tokana na nature ya hairstyle za nyele zangu ambazo mara nyingi husukwa.. I am lucky, i don't need to wax miguu yangu... hivo vitu vidogo ndio hivo vilinifanya katika post yangu ya kwanza nisema kuwa sipo 100% but not less than 90%..
   
 13. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama unayoyafanya hayakubadilishi sehemu yako yoyote ya mwili, yes u are natural.
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kua 90% natural mwaya.
  Mi hata sijui nisemeje, nimechanganyikiwa mahesabu
  Mwanzo niliamini only fake hair, nails skin tone etc ndio fake
  Hivi vingine vyote ni usafi tu wa kawaida, but I am natural
  sasa nilitaka kusafiri nikaona "usafi" tu, ni kabegi kazima!
   
 15. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimependa hii definition yako, imenisave. lol
  Havinibadilishi lolote, ni vya "usafi" tu naamini
  Maana hata wakati wa swaum bado navitumia
  hamna cha rangi ya kucha wala wig or weaves
   
 16. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  hahaha.. mie naona kujipenda haiwezi kwalifai kama being fake. Kama hivo vitu vya ziada ni kwa ajili ya kujitunza physically kwa kuwa katika hali nzuri kama vile ngozi iwe nyororo, nywele ziwe katika hali nzuri, kupendezesha kucha ni muhimu. Personally wat i consider fake in ile kubadilisha kile ambacho unacho, let say kutaka kucha ndefu zaidi ya ulizo nazo, kutaka ngozi lighter than ilivo katika hali halisi, kutaka nywele za ziada, kutaka nyusi ndefu, ndio waweza consider fake..
   
 17. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ehe kumbe nimekosea njia!!!
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Hata synthetic things zimetokana na vitu vilivyopo already (Mungu keshamaliza kuumba), one can argue that way!

  Sasa sijui kuwa natural unataka tisioge wala kupaka hata korie; tuwe kama wanyama basi. Kwa maoni yangu mimi naona kuweka appendages na kubadili rangi ya ngozi na nywele ndio unnatural!
   
 19. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naomba zawadi. Lol
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  eeeeehhh, Nitonye! Upo? siku nyingi sana dear
  hivi wewe ulikua ni shem, uncle au mchumba?
  Umepotea sana hadi nimesahau uhusiano wetu
  hahahahah
   
Loading...