Kwa wanawake na wanaume

Vipi utafikia dau?? Mwenye kisu kikali ndio atakula nyama

mmh sasa me mbona wallet yangu imesinyaa haswa! ila kwenye foleni sitoki ng'o, labda naweza pata ZALI kama lile la MENTALI. missyrose
 
Last edited by a moderator:
NAomba kujua kama kwenye huu uzi kuna mahali imesemwa kuwa alimkuta bikra?:ranger:
 
mmh sasa me mbona wallet yangu imesinyaa haswa! ila kwenye foleni sitoki ng'o, labda naweza pata ZALI kama lile la MENTALI. missyrose

Mnasemaga hivyo hivyo lakini kuna watu huwa mnawapa..teh teh
 
Last edited by a moderator:
kwenye sababu hapo zinaweza kuwa nyingi. Ni vema umuulize yeye mwenyewe nini chanzo.

Halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?.

hahahah....eti "halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?"......hata ukishona nguo za bati na chupi ya chuma na ufunge na solex watu tayari tuna master keys za hizo solex!!!!
 
hahahah....eti "halafu aliyekwambia nguo za kushona hazivuliki ni nani?"......hata ukishona nguo za bati na chupi ya chuma na ufunge na solex watu tayari tuna master keys za hizo solex!!!!

Hahaa..alisahau kama za kushona zina zipu..na sanyingine watu wanapandisha tu teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…