Aisee kweli jamani ila kwangu mimi muchumba kapatikana mtaani seriously .
Huyo ni wewe. Tuache wengine tunaotaka zaidi ya kuchart..Mimi siwataki nataka marafiki wakuchart nao
Hayaa may be sio kwanguPole katoto kazuri, ila Amin tu kuwa jf wapo wanaume wazuri na waaminifu sana, si kama unavyodhani.
Unajua hata watu wanasema Mungu yupo ila badhii hawaamini wengine ngoma ipo kuweni makini wengine wanakana so basi hayaHuyo ni wewe. Tuache wengine tunaotaka zaidi ya kuchart..
Utatafuta mpaka humu ni uongo tatizo waliooa hajapata humu au walioolewa hawajapata humu kama unAtaka michosho ndio hawa wapo ndani na sitaki kusema sana hata macritical hawawezekani na jamii humu .SIUNGANI NA WW , KAMA umekutana na WATOTO NI JUU yako
NI Kama kuchota maji ukichota uchafu mwaga chota tena
MM BADO NATAFUTA MKE HOPE NTAPATA TU SO LONG AS NISHASEMA WAZI NAHITAJI MMTU WA AINA IPI
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
WeweeNani tena kakudaganya
Duuuu!!! Inawezekana shetani alinipitia ngoja nije tuyajenge upyaWewee
Duuuu!!! Inawezekana shetani alinipitia ngoja nije tuyajenge upya
Safari hii kaja na mapembe akanitishia lakini nimemshindaKila siku tu akupitie
Haya bhna njoo ila sasa hivi kwasababu umekosea kuongea na mimi toa lakiSafari hii kaja na mapembe akanitishia lakini nimemshinda
Baada ya dk kumi angalia kwenye tigo pesa yakoHaya bhna njoo ila sasa hivi kwasababu umekosea kuongea na mimi toa laki
Mi nafikir ni kipaumbele chenu tu, ni jinsi gani mtaelewana na mtayapeleka vipi mambo yenu ili kufikia malengo, na ninachojua mimi dada anapofikia hatua ya kutafuta mme jf hata akili yake itakuwa imekomaa, haongozwi na mwili Bali anaongozwa na akili kufikia malengo.Hayaa may be sio kwangu