juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,483
Ndugu mwenyekiti mimi nina swali kwa mleta mada "je hizo nudes ulizokua unamtumia umekumbuka kuficha uso... Ni hayo tu ndugu mwenyekiti, asante"
Hahaha mwanaume anabadilika kutokana na mazingira, hizo sifa ulizotaja mwanaume mmoja tu anaweza kujivika sura zote hizo, anachagua step kulingana na mwanamke anayemwendea kwa wakati huo. Cha muhimu ni kuchukua tu tahadhari, mahusiano ya mitandaoni ni very challengingWapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious
Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
We nae na Tala yakoDownload TALA app
Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!
Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.
Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu
Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6
Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini
Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini
Masharti ya malipo kuzingatiwa
MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Hili jiwe limetupwa gizani.Wapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious
Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
Kipindi chote nilikuwa natania ila seriously nimempata shoohongera yako
Mwache kantwe wawatu ajiachieWe nae na Tala yako
shukuru Mungu wako uache kulalamika sasaKipindi chote nilikuwa natania ila seriously nimempata shoo
Siitaji tena bossy mkiniona humu nahitaji mume nisuteni kabisa malaya ni wangapi wameolewa sio shivaz humu matako bar wewe humu meti onyo meaning huku wanaume serious hawapo wapo wakupotezeana mb tuWapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious
Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
Hongera kwa maamuzi sahihi ni ukweli mwanaume wanawake wapo mitaani you can't love someone who is not near u.Mmh kwa humu JF sidhani sina uhakika but mm naamin mitaani kwetu mbona wake wa kuoa wapo wengi tu
Hatujakupata fungua ueleweke unibiweNdugu mwenyekiti mimi nina swali kwa mleta mada "je hizo nudes ulizokua unamtumia umekumbuka kuficha uso... Ni hayo tu ndugu mwenyekiti, asante"
Sitaki
Khantwe big up jamani yaani huo ndio ukweliHahaha mwanaume anabadilika kutokana na mazingira, hizo sifa ulizotaja mwanaume mmoja tu anaweza kujivika sura zote hizo, anachagua step kulingana na mwanamke anayemwendea kwa wakati huo. Cha muhimu ni kuchukua tu tahadhari, mahusiano ya mitandaoni ni very challenging
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Ndo nashangaa wadau wanasema mtaani hakuna wyf material wakat wamejaa kibao kama wote kwa iyo nawasii wadau wachangamkie fursa za warembo mtaaniHongera kwa maamuzi sahihi ni ukweli mwanaume wanawake wapo mitaani you can't love someone who is not near u.
Mwanaume mke ni yule ambae upo karibu yake.
Unayemkubalii
Mkuu umewajaribu wote?
shukuru Mungu wako uache kulalamika sasa