katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #181
Hya tuwaachieni waenda pole wao hawajikwaiWanaume wapo... Srma ukiwa na papara ndo utaambulia kudanganywa.

Hahaha!Hya tuwaachieni waenda pole wao hawajikwai
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Unajiona sana eti wamenifanyia mazoezi so wakina nani hawa wamenifanyia sikia usidhani mtaani watu hawatutaki tunatakwa so tumeridhika mitaani.Sio kila mwanamke ni kumwambia ukweli wengine ni wakuchezea na kufanyia mazoezi kama wewe.na wengine wa kuolewa,hiyo ndo classes na classes haipukiki,so endelea kuwa mlezi wa wana.
Kadudu mambooonaona wanaume wote humu tumejumuishwa tu wote kundi moja
Umeshaumizwa wewe....we understandWakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Naomba tuchat katotooMimi siwataki nataka marafiki wakuchart nao
Karibu na lalaUmeshaumizwa wewe....we understand
Labda ni ww umekutana na magube gube humu ndani basi una conclude kuwa ni wote. Kwa nikupe POLE dada..Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Thanks madam s. Si wote wabaya.. si wote wazuri. Haimaanish kuwa wazuri hawapo.. wapo sana tu. Ni Mungu akuonyesheMtandaoni ni kama mitaani sema fake life na pretenders ni wengi sana kiasi kupelekea watu kuona mitandao kama chaka la kujifichia na mambo yao
Muhimu ni kuomba Mungu tu akupe chaguo stahiki na moyo wako na mkaendana, wapo watu wanaolewa na wanaume wanatokea hum humu mitandaoni na bado wako kwenye ndoa zao
Asante aggy. Popote ulipo.. chukua kitimoto kilo kumi.. kunywa unachopenda billl yote is on me. Usitoe hata hamsini nalipa mmWapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious
Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
PoaNaomba tuchat katotoo
Karibu wewe basi inaelekea you want my company welcomeLabda ni ww umekutana na magube gube humu ndani basi una conclude kuwa ni wote. Kwa nikupe POLE dada..
Piliwanaume tuliotulia tupo, ila sasa hatuonekani.. mnakimbilia ma superstar wa jf.. huwa mnatarajia nn?
Once again POLE.
Jarib kuangalia aina ya mwanaume.. sio unakimbilia watu maarufu jf.. watu serious tuko laki hamjitokezi
Wanaume serious wapo mama. Sema ni wachache sana sana sana. Na ni ngumu kuwafaham.. tatizo unavyojiweka. Kama ww hukuwah kukutana na serious basi hiyo.n wwSiitaji tena bossy mkiniona humu nahitaji mume nisuteni kabisa malaya ni wangapi wameolewa sio shivaz humu matako bar wewe humu meti onyo meaning huku wanaume serious hawapo wapo wakupotezeana mb tu
Unajua ukimwona mwaume anakuja kwa staili fulani ujue he wants u sasa mnasema naumizwa sijawahi lala na mtu humu ndio maana ninajiamini aje mtu aseme nililala nanani humu sijawahi my dear wataniona malaya ila ni malaya wa mdomo i will give everything not my pussy neverWanaume serious wapo mama. Sema ni wachache sana sana sana. Na ni ngumu kuwafaham.. tatizo unavyojiweka. Kama ww hukuwah kukutana na serious basi hiyo.n ww
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Onjeni mema ya jf karibuni muonjwe tena ukiwa dar utaonjwa sana kama huwezi kusema hapana.Acha kupotosha watu ww