katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #201
FunguA uzi nani kamla katoto kazuri?Ukiona hivyo ujue tayari kuna mtu kalizwa
FunguA uzi nani kamla katoto kazuri?Ukiona hivyo ujue tayari kuna mtu kalizwa
Naomba link tafadhaliFunguA uzi nani kamla katoto kazuri?
Ah fungua weweNaomba link tafadhali
I dont need your pussy. I need your mind. That my problem. But hiyo ni mimi tu.Unajua ukimwona mwaume anakuja kwa staili fulani ujue he wants u sasa mnasema naumizwa sijawahi lala na mtu humu ndio maana ninajiamini aje mtu aseme nililala nanani humu sijawahi my dear wataniona malaya ila ni malaya wa mdomo i will give everything not my pussy never
Hahahaha do you think so?Karibu wewe basi inaelekea you want my company welcome
Kumbee basi my mind ni nice your a gentlemen sasa bossy kumbe ninavyowanyima ni sawa ehI dont need your pussy. I need your mind. That my problem. But hiyo ni mimi tu.
Mwongo hajifichi mama, hajifichi kabisaa yaani. Mwaume mwongo ni rahis kumjua.. tatizo you dont pay attention to matendo yao..
Muongo mpe muda.. lazima uone rangi zake. Ukimpa pussy kwanza imekula kwako.
YesHahahaha do you think so?
Siwezi kusema no au ni kweli ila mtandaoni nikama bahati na sibuUkipata mwanamke mtandao na akakubali jua ana sura chongo au kazaa ana watt so anataka kukutupia msalaba wewe ..mie siwakubali wa mitandaoni
Sijui hayo maneno yakoWhat makes you thinks a guy like me want your company?
Haya sawa valentina my mama mdomokatoto kazuri humu jf kuna wanaume wastarabu wenye kujielewa,ni marafiki wa kweli nyakati zote, nikisema wanaojielewa nadhani unanielewa mama...
Yani wenye heshima na wenye utu,ingawa sikatai wako wachache wasiojilewa ila ni kawaida kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani...
Wanaume wote wa jf walio kundi la kwanza hapo juu big up sana,mbarikiwe sana mpaka mshangae kwa matendo yenu mema....
ni kweli ila chunga sanaSiwezi kusema no au ni kweli ila mtandaoni nikama bahati na sibu
Kweli nichunge nimekwenda mbali sanani kweli ila chunga sana