Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE
View attachment 976947