Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Pole mkuu naona wajanja wamekula kitumbua asubuhi na mapema...
 
uko sahihi kuogopa,huku wazuri ni wachache ingawa wapo wachache wenye heshima zao..
Tatizo wabongo ni wagumu sana kuelewa tunapenda kutafuta wapenzi mitandaoni matokeo yake tunakutana na vimbwanga vya ajabu
 
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Dah.. Huu uzi siyo bure...Dah...
 
maneno ya aliumwa na nyoka. anafikiri hata majani ni nyoka. tafuta mume wewe acha misimamo ya maumivu. kama jf au nje ya jf wewe jipatie mume. wako wengi sana.
alafu unaonekana wewe mwingi sana. umetoka na wangapi jf mpaka ujumlishe wanaume wanaume wote wa jf

nb nawapingeza sana wanaume wa jf kwa kumkimbia huyu mtu. inaonyesha alikuwa na lundo la watu akifikiri mapenzi ni maembe ya buguruni. wanaume wa jf wanajielewa sana na huwezi kuwaibia kirahisi.
wengi wasomi wajanja na wanawaelewa watu wajanja wajanja na kama umeenda kwa hivyo huwapatiiiiii
Umeandika mengi ila sijawaomba waje pm nawajishaue sikia mimi 2019 Mungu akipenda humu ni uchangizi na kukomment mapenzi matamu ni yale unamwona mtu unamchekea mnatoka out unamtoa shopping anakutoa shopping mnabembelezana .
Mnapikiana mnadekezana sasa wa jf mpaka atoke dar au songea au wapi anakuja siku mbili tu naanatokomea wapi na wapi?
Raha ya penzi nimuonane mfurahiane mchekeane yaani raha ya mapenzi nikuwa karibu.
Sio kuotana usingizini.
Kama now unachart jf ila kipenzi chako kipo hapo kinaandaa makuli sio kinaandaa mb za kukutumia chakula unaishia kutamani .
Ni akulishe umlishe mpenane raha kama mpo dar kutaneni mdanganyane ila kwangu no more sio nimechezewa sijaliwa na mtu mimi humu .
Ila nafurahi kuwa na mtu ninaye muona so tukana nione malaya sijali kwa maana aliyekaribu hajali cha cv anajali kazi yenyewe mwakani i know God atanipa nafasi yakuanza mwaka mpya mimi napenda niwe na mtu ninaye mwona .
So utajiju malizeni mb
 
hata mtaani kuna vimbwanga….ni kujaribu bahati yako tu,ukimpata mzuri haya,ukimpata mbaya haya,life goes on...
Duh sijui kwa nini binadamu wamekuwa hivi watu hawana soni kabisa any way ngoja tuendelee kuangalia season part 2
 
IDs zenyewe feki sasa mtu atakuje genuine! Ingawa na nyie wanawake mnapenda Sana kukufanya wasamaria wema na kuwalaum men kwenye kila kitu,kwani nyie mna usahihi gani?
Wanawake wa kuoa jf ni 1/10000
 
Wapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious

Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
Hivi Zari alijiwekaje kwa demond kuomba tu.
 
Njoo kimya kimya pm nikunong'oneze katoto kazuri.
 
Hata akikuambia babe come to my home .
Unakuja what dear nasafiri kesho kutwa so njoo kesho kipenzi changu uje unisaidie kupaki au jiandae tunaenda wote.
1.kama mtaenda wote lazima mjipange muende .
2.kama ataenda alone basi unamsindikiza hadi stend unamuaga unasubiri gari lianza kwenda basi unamuaga.
Sio unaota mtu wanini upo arusha saka wa arusha tulia upo mwanza tafuta mwanza tulia bhana.
 
IDs zenyewe feki sasa mtu atakuje genuine! Ingawa na nyie wanawake mnapenda Sana kukufanya wasamaria wema na kuwalaum men kwenye kila kitu,kwani nyie mna usahihi gani?
Wanawake wa kuoa jf ni 1/10000
Hongera sana upo sahihi sana fanya hivi jf mwanaume wakuoa ni 1/100000
Asante kwa ushauri
 
Asilimia kubwa humu ni wawindaji tuu,aka wadangaji wema ni wachache sana
Sahihi kabisa sasa fanya hivi.
Wanaume humu wengi niwawindaji usipojichunga niwalaji tu na ni madangaji wanaume wanaomba watumiwe vocha .
Ni aibu.
 
Umeandika mengi ila sijawaomba waje pm nawajishaue sikia mimi 2019 Mungu akipenda humu ni uchangizi na kukomment mapenzi matamu ni yale unamwona mtu unamchekea mnatoka out unamtoa shopping anakutoa shopping mnabembelezana .
Mnapikiana mnadekezana sasa wa jf mpaka atoke dar au songea au wapi anakuja siku mbili tu naanatokomea wapi na wapi?
Raha ya penzi nimuonane mfurahiane mchekeane yaani raha ya mapenzi nikuwa karibu.
Sio kuotana usingizini.
Kama now unachart jf ila kipenzi chako kipo hapo kinaandaa makuli sio kinaandaa mb za kukutumia chakula unaishia kutamani .
Ni akulishe umlishe mpenane raha kama mpo dar kutaneni mdanganyane ila kwangu no more sio nimechezewa sijaliwa na mtu mimi humu .
Ila nafurahi kuwa na mtu ninaye muona so tukana nione malaya sijali kwa maana aliyekaribu hajali cha cv anajali kazi yenyewe mwakani i know God atanipa nafasi yakuanza mwaka mpya mimi napenda niwe na mtu ninaye mwona .
So utajiju malizeni mb
mb kwa mwanaume wa jf sio shida maana wengi tunajiweza. hatuna njaa kiasi cha kuogopa matumizi ya mb
kitu cha msingi utofautishe mapenzi na hisia.

kwa mujibu wa post yako naona wewe umejawa na hisia na sio mapenzi.

ushauri wa bure
jtahidi uelewe tofauti ya mapenzi na hisia( euphoric feelings)
pia nakushauri usome kitabu fulani hivi kinaitwa things i wish i had known before we got married.
kuna audio pia unaweza sikiliza kama kusoma muda hautoshi.

krismas njema na enjoy
 
Unajua kuna wakati mtu anaopen his or her eyes sio kulaumu kutasaidia .
So mapenzi bila hisia kweli inafaa ?
 
Back
Top Bottom