Kweli eti naareKwa hizi ID fake unaweza kuta unaepost haya maneno ni Dem wangu, au hta Dada yangu
Kwa hesabu za fasta fasta Kati ya wanaume na wanawake humu jf nani wengi?Sijakuelewa
Mimi sijui bextKwa hesabu za fasta fasta Kati ya wanaume na wanawake humu jf nani wengi?
Unha me naisi wanaume ndo wengi ndo maana kudanganywa ni kwingi humu jfMimi sijui bext
Haya bhnaWe tuchafue tu lakini inawezekana tatizo lako upweke na u"single"
Niko na mwenzako niliyempata humu humu tunakula sikukuu. We baki na upweke wako
Sijadanganywa walaUnha me naisi wanaume ndo wengi ndo maana kudanganywa ni kwingi humu jf
Utamuoa au utamchezeaWe tuchafue tu lakini inawezekana tatizo lako upweke na u"single"
Niko na mwenzako niliyempata humu humu tunakula sikukuu. We baki na upweke wako
Wala mtaani kwetu kumetokea shida fulani so mpaka sasa naogopapole,yapi yamekusibu katoto kazuri…??
Njoo PM tupeane ushahidi basiAsantee
HakiananiKwa hizi ID fake unaweza kuta unaepost haya maneno ni Dem wangu, au hta Dada yangu


Akipita hapa ataona, njoo PM nkunong'onezeUtamuoa au utamchezea
Ahahaah,, ni kweli ila JF bhana unaweza ukawa unasaundisha kumbe unasaundisha bibi yako au mama mkwe wako mana si kwa ID hiziKwa hizi ID fake unaweza kuta unaepost haya maneno ni Dem wangu, au hta Dada yangu
maneno ya aliumwa na nyoka. anafikiri hata majani ni nyoka. tafuta mume wewe acha misimamo ya maumivu. kama jf au nje ya jf wewe jipatie mume. wako wengi sana.Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE View attachment 976947
Wala mtaani kwetu kumetokea shida fulani so mpaka sasa naogopa