Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

SIUNGANI NA WW , KAMA umekutana na WATOTO NI JUU yako

NI Kama kuchota maji ukichota uchafu mwaga chota tena
MM BADO NATAFUTA MKE HOPE NTAPATA TU SO LONG AS NISHASEMA WAZI NAHITAJI MMTU WA AINA IPI
Soma uzi sio wanaume ni wanawake
 
Nawataadharisha waliobaki wasipoteze muda wao muda mwingi watengeneze hela wasome wafaulu na mb zao watumie kayika kutangazia biashara zao nakutafuta nafasi za kazi sio kudangwanywa humu au facebook au popote pale ukitaka mke /mme anapatikana mitaani na sehemu za kula kunywa concerts ona mtu sio kuota mtu.
ooh hope watakuelewa
 
Ndo nashangaa wadau wanasema mtaani hakuna wyf material wakat wamejaa kibao kama wote kwa iyo nawasii wadau wachangamkie fursa za warembo mtaani
Yap ni upo sawa kula tano [emoji109]
 
Mtandaoni ni kama mitaani sema fake life na pretenders ni wengi sana kiasi kupelekea watu kuona mitandao kama chaka la kujifichia na mambo yao

Muhimu ni kuomba Mungu tu akupe chaguo stahiki na moyo wako na mkaendana, wapo watu wanaolewa na wanaume wanatokea hum humu mitandaoni na bado wako kwenye ndoa zao
True
 
Hahahaha!!
Katoto kazuri bhanaa...

Nani kakufanyia yote hata?
Sijafanyiwa na mtu nasema ukweli kwa sababu huku arusha watu wanasema mwanamke alikuwa anachart na kijana mtandaoni sasa siku moja huyo kaka akaja kuja watu wa home kwa yule msister wakamsii humjui usiende .
Nayeye akagoma na akaenda tomea aende hajapatikana. Kupatikana akakutwa kichwa hana wala sehemu ya juu ni kiwiliwili.
So kuanzia leo mihuku no naogopa hii taarifa imetoka leo ila tukio ni majuzi fulani.
Sasa maisha ndio hayo bora kusubiri kuliko kuforce.
 
Unajua sio kweli kama jf hakuna wanaume .. jf inaongoza kwa wanaume wengi pia wanawake wa jf ni wachache kwa hiyo ukiona uoelewi na wanaume wa jf jua wanapasiana mpira tu sasa mpira wa mwisho ndo atakuoa.. sasa ww mm nikufate au unikatae nitakuona mshamba sana eti kila unataka kuolewa
 
Nawataadharisha waliobaki wasipoteze muda wao muda mwingi watengeneze hela wasome wafaulu na mb zao watumie katika kutangazia biashara zao nakutafuta nafasi za kazi sio kudangwanywa humu au facebook au popote pale ukitaka mke /mme anapatikana mitaani na sehemu za kula kunywa concerts ona mtu sio kuota mtu.
Ameeen
 
Ni mtandao wa JF?
Sijafanyiwa na mtu nasema ukweli kwa sababu huku arusha watu wanasema mwanamke alikuwa anachart na kijana mtandaoni sasa siku moja huyo kaka akaja kuja watu wa home kwa yule msister wakamsii humjui usiende .
Nayeye akagoma na akaenda tomea aende hajapatikana. Kupatikana akakutwa kichwa hana wala sehemu ya juu ni kiwiliwili.
So kuanzia leo mihuku no naogopa hii taarifa imetoka leo ila tukio ni majuzi fulani.
Sasa maisha ndio hayo bora kusubiri kuliko kuforce.
 
Unajua sio kweli kama jf hakuna wanaume .. jf inaongoza kwa wanaume wengi pia wanawake wa jf ni wachache kwa hiyo ukiona uoelewi na wanaume wa jf jua wanapasiana mpira tu sasa mpira wa mwisho ndo atakuoa.. sasa ww mm nikufate au unikatae nitakuona mshamba sana eti kila unataka kuolewa
Sijakuelewa
 
Back
Top Bottom