Kwa wanaume wenye ndevu

Kwa wanaume wenye ndevu

....wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kuzuia ndevu zisiote then hizo nywele zikajikusanya ukaota mkia.....
<br />
<br />
dah! We mkali mkuu,nimecheka mpaka watu kwenye daladala wamenishangaa.
 
mmh! mbona wewe mbaguzi hivyo kuna wanawake wana ndevu pia kwa hiyo naona hii inawahusu pia
 
Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti.
<br />
<br />
kama hautak ndevu omba matiti. Wanawake wamepewa matiti sis wanaume tumepewa ndefu, wewe unazikataa unataka nin?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom