Kwa wanaume wenye hekima

Hata mimi nilipoenda kutahiriwa at the age of 14, daktari alimpongeza baba kwa uamuzi huo...
Kwa sababu ni umri ambao akili ya mtoto imeanza kutulia na hupunguza usumbufu wakati wa kutahiri.
 

Hayo mambo ni uzushi...tahiri mtoto wako mapema. Kuna watu hawatairi kabisa lakini wanavibamia
 

Hamna uhusiano wowote kati ya kumtahiri mtoto na ukuaji wa viungo vyake, viungo vinakuzwa na hormones na kutahiri ni swala physical, tena kiafya inashauriwa umtahiri mtoto mapema ili kufanya recovery yake iwe ya mapema kuliko recovery ya ukubwani inatesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…