Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
6,157
Reaction score
4,454
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
 
Usijidhulumu wewe utaishia kudata bure. Hebu nenda hapo Kona Bar au Meeda baadae leo ukamege.

Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio
 
Usitoke nje ya ndoa ni kosa kuubwa kwa wanandoa, ila nakushauri uemde pale kona bar au buguruni au meeda na ukifika pale angalia mrembo anaemzidi mkeo uzuri then mpakie kwenye gari uende nae guest mkalale tuu. Utakapoamka utakuwa poa
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.
[/QUOT

Ukiendekeza tamaa zitakudrive crazy!
 
Mkuu huwezi amini yaani nimepanga nisiduu mpaka mama arudi lakini naona naelemewa, mimi nataka nipate mdau aliye kwenye ndoa na amewahi kufanikiwa kukaa mda mreefu kiasi hicho bila kumega anipe siri ya mafanikio

Utadata wewe, shauri yako.

Kumega ni stress reliever. Sasa wewe ezi mbili tu hoi....hizo ezi aruba zilizobaki si utaokota makopo kabisa....

Wewe nenda kanunue sukari upone. Sio dhambi.
 
Duh kazi kweli kweli.........

LONG DISTANCE ni mbaya sana huwa zinahamasisha muno........

Kama hujajielewa utaishia kwenda huko corner bar kila mara sasa mdio miezi miwili

kuna miezi 4 mbele ko haitakuwa mara moja wala mara mbili cos hiko kichupa kitajaa tuu........

I HOPE UTAPATA MSAADA USEFUL KWA HAO WANAUME WATU WAZIMA!!!!!!!
 
Mimi Sipo Ndani Ya Ndoa Lkn Najua Mtu Akiamua Kitu Toka Moyoni.
Hawezi Shindwa,
Wewe Unasound Kama Vile Unataka Kula Nje.
 
Kiongozi huu ushauri wako nitautumia mwishoni kabisa ikishindikana lakini ngoja niwasikilize wadau wengine.
 
Duh kazi kweli kweli.........

LONG DISTANCE ni mbaya sana huwa zinahamasisha muno........

Kama hujajielewa utaishia kwenda huko corner bar kila mara sasa mdio miezi miwili

kuna miezi 4 mbele ko haitakuwa mara moja wala mara mbili cos hiko kichupa kitajaa tuu........

I HOPE UTAPATA MSAADA USEFUL KWA HAO WANAUME WATU WAZIMA!!!!!!!

Wee mama unatafuta nini huku?
 
Mimi Sipo Ndani Ya Ndoa Lkn Najua Mtu Akiamua Kitu Toka Moyoni.
Hawezi Shindwa,
Wewe Unasound Kama Vile Unataka Kula Nje.

Ningekuwa nataka kula nje nisingetuliza ball miezi miwili, mimi sitaki kutoka nje ndo maana nimekuja hapa labda nitanusurika kwa kupata uzoefu kwa wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom