Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
mi nikajua tuna chtichatika kumbe
Hehehhe penzi limeanzia kwny maandishi
mi nikajua tuna chtichatika kumbe
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao??
Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko kakutana na mume wa mtu ALIEJIFANYA(I believe so) amempenda sanaaaaa rafiki yangu huyo...
Sasa rafiki yangu nae anajifanya amekolea imebidi nimpe vipande vyake weee ndo kaacha ku entertain huo upuuzi.
Jamani kwanini usiende na mwenzi wako mkafurahi wote??namna hii Ukimwi utakoma kweli???
Ataipata tu tukianza kula tunda la kati
Yethuuuu....
Club tuna hang tu sababu wake wengine hawazimiki kopo na kukesha kama popo sio life style zao tangu tunawakuta!!!!
So wenyewe wametuzoea tukiaga tu tunapewa masharti kama vile, kula nyumbani kabla ya kwenda, anahakikisha umeoga na kubadili nguo then budget yako ya huko naye unamuachia sawia naye ataitafutia limpendezalo bas mnaenda sawa!!!!!
Waacheni wake zetu waliotukubali kwa jinsi tulivyo!!!
wanawake akili zao bhana!!'eti ukifika nipigie sim niskie kelele za mziki ili niamini kweli uko club'
😕 wengin wake zao hawana swag za kiclub club n mvutoless dats y wanaachwa nyumban
yeye kwenda haiwezekani mkuu.
Swaga za club zipoje?
anaweza kutaka kwend club na dira
Sawa kaka ni vizuri! Hoja ni kwa nini huko mnapoenda ku club mnafanya na uzinzi? Wake zenu tunawaheshimu tunawapenda tunawajali, tunawapa papuchi 24/7...... haiwatoshi kwani?
Mnajua nnawadhalilisha sana wake zenu!
hivi unajuwa mpwa ana masters ya udsm? and best student for the first year?
Na hili ndilo neno la mungu.
siyo interest tu, jamani kuoana siyo kufungamana, kwamba lazima kila sehemu muende wote.labda mke hana interest ...
akuuuuu!!