Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Club tuna hang tu sababu wake wengine hawazimiki kopo na kukesha kama popo sio life style zao tangu tunawakuta!!!!

So wenyewe wametuzoea tukiaga tu tunapewa masharti kama vile, kula nyumbani kabla ya kwenda, anahakikisha umeoga na kubadili nguo then budget yako ya huko naye unamuachia sawia naye ataitafutia limpendezalo bas mnaenda sawa!!!!!

Waacheni wake zetu waliotukubali kwa jinsi tulivyo!!!
 
Yaani suala la mtu 1 ndiyo unasema manaume walio wengi?
 
Club tuna hang tu sababu wake wengine hawazimiki kopo na kukesha kama popo sio life style zao tangu tunawakuta!!!!

So wenyewe wametuzoea tukiaga tu tunapewa masharti kama vile, kula nyumbani kabla ya kwenda, anahakikisha umeoga na kubadili nguo then budget yako ya huko naye unamuachia sawia naye ataitafutia limpendezalo bas mnaenda sawa!!!!!

Waacheni wake zetu waliotukubali kwa jinsi tulivyo!!!
wanawake akili zao bhana!!'eti ukifika nipigie sim niskie kelele za mziki ili niamini kweli uko club'
 
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao??

Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko kakutana na mume wa mtu ALIEJIFANYA(I believe so) amempenda sanaaaaa rafiki yangu huyo...
Sasa rafiki yangu nae anajifanya amekolea imebidi nimpe vipande vyake weee ndo kaacha ku entertain huo upuuzi.

Jamani kwanini usiende na mwenzi wako mkafurahi wote??namna hii Ukimwi utakoma kweli???

Wanaume malaya wenye element ya ubazazi ndo hufanya hivyo....
 
Jamani eeeee,mi club nitaenda tu,nitastop nikijifungua tu,nikimaliza uzazi, mume afanye yake mchana,jioni na usiku atanipeleka napotaka,wanawake mlioolewa msikubali kubweteka,ukienda chachi na ukweni vaa gauni ya kitenge,ukitoka out,club nk tupia vibukta eboooo,kujizeesha no aiseee!ukiwa home wakaaaa mtt wa kike!aalaaaa
 
Mm nmeacha kwenda club tokea nilivyoanza kuish na mke wangu kwa sababu yeye hapendi...vitu vinaenda na umri pia
 
Back
Top Bottom