Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Ahaaa

NATUMIA CL
NAMWAMBIA AKUWEKE NDANI WEWE ASOME NAMBA KAMA ATAENDA CLUB NA BAR MED ...AJUI MTOTO UNAGANDA MPAKA DUKANI

NEXT

haha nimekusoma sasa nilitaka nimwite mpwa matola anipe ufafanuzi
mie haniachi ndani namganda kama ruba
 
haha nimekusoma sasa nilitaka nimwite mpwa matola anipe ufafanuzi
mie haniachi ndani namganda kama ruba

he ajaenda likizo ??
Niliona form yake kwa inv nikajua kazi imeanza jf kuanza kuelewesha watu lo fani za watu hizo ila mtamu waonekana we acha unasali kanisa gani

njoo kwangu uanze hesabu sadaka za sundayschool nikijiridhisha mwaminifu unahesabu za wakubwa

jiandae na mwakaammoja wa prob
 
Kutongoza cjui maana siwez kuusemea moyo, ila kuniacha akaenda kweny starehe haijawah tokea its either tunatoka wote au tunabak wote home

Je kama once in a blue moon huwa anachepuka unategemea starehe hiyo atakuchukua???!!!
 
Jamani naona masilale mcheke namimi leo nimeenda sapna pale posta ...nina katochi changu ndio mpangomzima sasa wakakaangalia wakaanza kutafuta tatizo alfu kumi

wakahisi yaawezekana tatizo fulani nikauliza kifaa chake sh ngapi ikitokea hivyo alufu 20

nikaenda ulizia kitochi wanauza sh alfu 35 kapya nilisikia haja kubwa nkawahi kwenye basi kesho nkanunue simumpya
hivi ni wao ama kuna wengine wana hayomaajabu yaani
 
Club tuna hang tu sababu wake wengine hawazimiki kopo na kukesha kama popo sio life style zao tangu tunawakuta!!!!

So wenyewe wametuzoea tukiaga tu tunapewa masharti kama vile, kula nyumbani kabla ya kwenda, anahakikisha umeoga na kubadili nguo then budget yako ya huko naye unamuachia sawia naye ataitafutia limpendezalo bas mnaenda sawa!!!!!

Waacheni wake zetu waliotukubali kwa jinsi tulivyo!!!

Na hili ndilo neno la mungu.
 
hahaaa...hivi Phenomenon Lady umeemuliza au unajua the open secret ni kina nani wanalipia hizo bday za kufanyia ma club na sehemu ntyinginezo kali kali? Wavulana wanaosoma nao wanaweza kugharimia hayo mambo?

Kilichotokea hapo ni rahisi kabisa biashara ya nipe nikupe,,,sana sana ulitaka kumharibia deal mwenzio

waje hapa wanachuo waseme......hiyo mitoko, mi bday, miparty, minini sijui wanafund wao au wanakuwa wanashangaa tu kupewa taarifa "leo nafanya bday Mzalendo...."

So, ni issue ya pande zote. Kuhusu kwenda club ni preference ya mtu, wengine wanaenda na wake zao, ila sio siku zote mke atakuwa interested, so huwa wanaelewa kama ni mwanamke aliye mke na sio mwanamke tu

CC Asprin

Roger Roger Roja!!!

Copy that.... loud and clear.

Usione vyaelea..... Hutu tuVitz wanaendesha michuchuz iliyogradyuet jana huwa haipatikani hivihivi bila juhudi, maarifa na kujitolea kwa dhati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom