OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Sawa she is lucky!
Yeanh ila kanijenga hivi sana sababu ananiamini tangu tumekutana, sasa inafikia kipindi mtu huoni sababu ya kumuumiza mtu "innocent looking" ambaye anakuachia kufanya utakayo ilhali jukumu lake analitekeleza! !!!!! Kwa nini uharibu yote haya kwa sababu ya mambo ya kupita tu ambayo ushafanya sana tu kabla hujaamua kuoa na haswa kumuoa yeye mama wa watoto wako?????!!!!
Ukiamua inawezekana kabisa na yeye wala hawezi jutia maamuzi yenu