he ajaenda likizo ??
Niliona form yake kwa inv nikajua kazi imeanza jf kuanza kuelewesha watu lo fani za watu hizo ila mtamu waonekana we acha unasali kanisa gani
njoo kwangu uanze hesabu sadaka za sundayschool nikijiridhisha mwaminifu unahesabu za wakubwa
jiandae na mwakaammoja wa prob
penzi langu unaliona mchepuko?
Twenzetu weweeeeee!!!!!
akuuuuu!!
unataka nilionaje??
Jamani eeeee,mi club nitaenda tu,nitastop nikijifungua tu,nikimaliza uzazi, mume afanye yake mchana,jioni na usiku atanipeleka napotaka,wanawake mlioolewa msikubali kubweteka,ukienda chachi na ukweni vaa gauni ya kitenge,ukitoka out,club nk tupia vibukta eboooo,kujizeesha no aiseee!ukiwa home wakaaaa mtt wa kike!aalaaaa
Ulithamini acha kudharau hisia zangu Heaven
haha sijadharau bana
haha sijadharau bana
haha nimekusoma sasa nilitaka nimwite mpwa matola anipe ufafanuzi
mie haniachi ndani namganda kama ruba
Hehehe, are you blushing sis? Lmfao
we nielekeze unakosali mie ntakuja tu kiroho safi
mie ni mwaminifu naomba uamini hivyo we mwenyewe utajionea
mpwa ni mfuasi wa gwajima.
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao??
Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko kakutana na mume wa mtu ALIEJIFANYA(I believe so) amempenda sanaaaaa rafiki yangu huyo...
Sasa rafiki yangu nae anajifanya amekolea imebidi nimpe vipande vyake weee ndo kaacha ku entertain huo upuuzi.
Jamani kwanini usiende na mwenzi wako mkafurahi wote??namna hii Ukimwi utakoma kweli???
najuwa unajikaza kisabuni tu kama kweli umemuelewa mpwa basi umemuelewa nusu, hiyo next unajuwa ni nini?
Mm nimshapenda kweli unajua
mpwa wako napata shida kumuelewa ndio maana nikawa nataka uje kunipa ufafanuzi zaidi
hiyo next alimaanisha nini