Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Nlitaka nikutolee mfano huku kwenye hii mada nikijua hutaingia (si ya wanaume tu) Loooo ningekamatweee!
nini best!
nini best!
nini best!
Yani wewe kweli ndo hamnazo.Idadi yoyote ile hadi ajambe!
Khabari yako weye?
Na kweli, kitu starehe bwana na sio kuchoshana.santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
idadi nini bana kwani tupo kwenye ligi hapa????
u crazeIdadi yoyote ile hadi ajambe!
my chinese lunch still stands ryt!??ahahahhahahahhah
Na kweli, kitu starehe bwana na sio kuchoshana.
Siku hizi hakunaga haya mambo ya kukomeshana.......heheheheeah!nani kwanza anafanya kazi ya kuhesabu saaasa!yani eti la kwanza hilo,hili la pili,sijui hili la tatu!
ahahhahaha mambo mengine bana!
ahahahhahhahahha hebu shoot huo mfano! lo!veeery curious!
ntamwambia watu8 anisomee
Siku hizi hakunaga haya mambo ya kukomeshana.......hehehehee
Hahaaaa, acha tu best nisiseme apa, ntakunong'onezea,
Naona mnatafutiwa standard rate! ikishatimia full stop, usubiri kumi na sita bora au nusu fainal tena.
Iisipotimia aah stress za kazi, sijala vizuri, nimepia tu kiepe, ohh nina apoitment, visingizio kibao. Kila kukicha tunajaribu kujipangia visheria sheria. complication afta complication.