Kwa wanaume wa ukweli tu

Kwa wanaume wa ukweli tu

ili iweje sasa!
kuna mtu aliwahi kuja humu na thread eti kaweza kufika goli saaaba!
mtaa mzima hawaamini!
yani was sooo childish!
Niliwahi kui view..........yani huyo anayepigwa saba nae mpaka mtaa mzima ukajua labda yalikua yanalia as mabomu.
 
Hahaaaa, Acha tu best, nimetoka na dona langu kijijini, sitaki aibu za kiepe mie! haaaaaa!

aahhahahhaaa sasa na kiepe nacho ni chakula kabla ya mlo!
ahhahhahahha no wonder watu wanaona deal sana kuhesabu haya makitu!
 
ukiona mtu anahesabu ujue hajazoea au hana kiwango na kashapewa dongo!

chezea dona na samaki wa kuchemsha!
ahhhahaha af mtu bado ubaki na akili ya kuhesabu zilikuwa ngapi?
watu wanatakiwa kukua sana i see!mno!
 
ukiona mtu anahesabu ujue hajazoea au hana kiwango na kashapewa dongo!

mtani af next time ukienda hong kong uninunulie saa yenye stopper nataka niwe nahesabu la kwanza lilikuwa na dakika ngapi!sawa?
ununue tatu moja yangu,nyingine Kongosho na nyingine King'asti
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa na mtu aende kupiga vyombo (vile vya mpe, mpe mruke, mruke, mpe, mpe) afu unaanza kufanya mahesabu kichwani ya bili, kinywaji kinakuwa si kinywaji tena wala si starehe. mahesabu si ungepigia nyumbani?

maswali ya hiv nimekunywa bia ngapi???
 
Hiyo umepata...nitakuja pia na kipenga kama kile cha marefa...game ikianza kinapulizwa na kila baada ya goli kinapulizwa kurudisha gozi kati

mtani af next time ukienda hong kong uninunulie saa yenye stopper nataka niwe nahesabu la kwanza lilikuwa na dakika ngapi!sawa?
ununue tatu moja yangu,nyingine Kongosho na nyingine King'asti
 
Last edited by a moderator:
Hiyo umepata...nitakuja pia na kipenga kama kile cha marefa...game ikianza kinapulizwa na kila baada ya goli kinapulizwa kurudisha gozi kati

usisahau na visoda shingoni!
 
Starehe yataka free mind! Visoda umenkumbusha long sana, ndio vimenifungua kuhesabu next to vidole. life kabla hujaruhusiwa kutumia peni.
maswali ya hiv nimekunywa bia ngapi???
 
Jamani,niliwahi kuandika kwa kutaka kujua ni idadi gani ya mabao ambayo standard kwa mwanaume anapokuwa ana-do na mpenzi/mke wake lkn kwa bahati mbaya sijui nili violate taratibu za humu jamvini? Maana sikuweza kupata majibu baada ya kushundwa kufunguka. Sasa kwa uzi huu naomba tena mnijuze ni idadi gani inafaa,2,3,4 au ngapi?Iisije ikawa najiona normal kumbe ni mgonjwa wa kufa kesho ktk hiyo context(kama hufaham kitu usidanganye,just leave it)
Hivi unawachukulia wanawake kama madoli au matobo ya kukojolea au? Nao wana hisia na wana haki ya kuamua mapenzi yafanywe kiasi gani na kwa style gani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom