Biashara matangazo....
Sorry i meant HONGERA!
hebu weka picha tuthaminishe hiyo mbumbua...
hodi hodi waungwana
napenda mnijuze jambo hili
nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu kimeumuka sana ...na anadai wanaume hupenda hali hiyo.... nikimuuliza kwanini hana straight forward answer ama anaishia kusema ni vizuri tu kuwa na umbile hili na lina raha yake.....
1) je ni kweli wanaume wanafurahia hali hii au maumbile haya? KWANINI?
mume wangu ni mwanaume wangu wa kwanza (uhusiano wa kimapenzi) so nakosa reference yakujiridhisha na jambo hili
nijuzeni waungwana
hahahaa uwii hebu nsubirie picha ya 'mbumbua'hebu weka picha tuthaminishe hiyo mbumbua...
Muraaaaa.....acha kabisa
hebu weka picha tuthaminishe hiyo mbumbua...
na mie sibanduki hapa hadi atuoneshe mbumbua yakehahahaa uwii hebu nsubirie picha ya 'mbumbua'
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM
Analyst usimu overdose dada watu inatosha na huo ndo ukweli wenyeweKwa nini unataka kujua kama na sisi wengine tunapenda kitumbua chako Honey? Jambo muhimu furahia kwamba jamaa yako anafurahia umbile lako. Kwa wenye akili timamu hicho tayari ni muhimu kuliko kujua kama wapo wengine wanaopenda umbile hilo au la. Au unataka kuanza kumnyanyasa kisa unadhani na wengine watapenda umbile hilo? Be careful kabla hujaingia mkenge buuure....!Don't be stupid Darling! Inawezekana kweli wapo wengi au wachache wanapenda maumbile hayo lakini kwa mwanamke aliyeolewa sijui kama kuna chochote inakusaidia. Kwanza ujue watu tunatofautiana sana. Anachopenda mumeo si lazima kipendwe na wanaume wengine pia. Ushauri wangu: Tulia upendwe, ukianza mapepe hakawii kukutafutia mwenye kitumbua kikubwa zaidi ili mshindanie penzi lake. Usiseme hatukukwambia!
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM