miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #101
wanawake wengine wanasimuliana saluni kwamba jamaa hana lolote ndio maana tunafanya kweli mapema hata akisimulia umeshakamua mzigo vya kutosha na ili uweke heshima kwa mwanamke kamua papuchi yake haswaaaaaaa ukicheza makida utaumbuka na atakukimbia ila suala la kutangaza kwa watu sio ishu hata mm sipendi ila mzigo piga vya kutosha
Mimi sijawahi
pole sana,kumbe hata haya hukukuta?
Basi ungeandika kufanya mapenzi, unapoandika kumfanya mapenzi, ni kana kwamba hicho ni kitendo cha upande mmoja, wakati wote mnashirikiana kwa pamoja, au labda unaposema kumfanya, aidha kambaka, kama wamekubaliana basi hakuna anayemfanya mwenzie, wote wanafanyana!!hapana namaanisha kusex tu kwa starehe
Nikujue ili iweje?!! Kwani kuna haja gani ya kutuambia unatembea na wake za watu??Wewe unamjuwa Limbukeni? Unanijua mimi? Unajuwa naishi wapi? Je unawajuwa hao wahusika? Je umeelewa mada inayojadiliwa hapa ni nini?
Punguwani wewe.
sawa kumbe hata wamama wanasemaBasi ungeandika kufanya mapenzi, unapoandika kumfanya mapenzi, ni kana kwamba hicho ni kitendo cha upande mmoja, wakati wote mnashirikiana kwa pamoja, au labda unaposema kumfanya, aidha kambaka, kama wamekubaliana basi hakuna anayemfanya mwenzie, wote wanafanyana!!
Kwa upande wangu naona sana kinyume chake, wadada na wamama wengi wanatangaza kwa watu kuwa nimetembea nao, wakati sio kweli, na niliotembea nao wanasema kwa watu kuwa"usimuone urefu tu yule, hana lolote, hawezi kabisa kaka wa watu, mie juzi kanipaka shombo tu"
Acha wajisifie tu maana siku hizi kila msichana unayemgusa utasikia KAN'TANGAZEEEE! sasa usishangae wanaume kuamua kutangaza kweli. Wanafuata maelekezo!!!
Nikujue ili iweje?!! Kwani kuna haja gani ya kutuambia unatembea na wake za watu??
Na hao wanaoropoka huwa hawatutoshelezi. Tatalatatala nyiiiiingi kazi kidogo. Akitoka uwanjani maneno debe wakati bao lilikuwa la kubembeleza na tena moja tu! Midume mingine bana!
Kuna watu wengi hufanya hivyo kufidia mapungufu yao ambayo wanayajua wao wenyewe na hujihisi kama kwamba mapungufu yao hufahamika na kila mtu.Wengi huona jambo hilo kama ishara ya ushujaa,uanaume na fahari isiyoweza kushindanishwa na kitu chochote ukijuacho duniani!Bahati mbaya zaidi hata baadhi ya wanawake hufurahia kuona watu kama hao!Hizi ni tabia za watu weusi
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ni moja ya tabia za wavulana na wakati mwingine yaweza komaa hasa akija kujua papuchi ukubwani. Hakuna mwanaume ambaye hajawai pitia hii tabia ila umri unavyosogea huanza kuacha.
Na hao wanaoropoka huwa hawatutoshelezi. Tatalatatala nyiiiiingi kazi kidogo. Akitoka uwanjani maneno debe wakati bao lilikuwa la kubembeleza na tena moja tu! Midume mingine bana!
ni ufahari.... especialy ukiwa kijana na damu inachemka!!! hizi dushe hatujapewa kukojolea tu na kugegeda ni mojawapo ya kazi and we are proud of that