Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

hao wanaojisifia ndo wale wasioweza mavituzi wawapo 6 x 6....kuna WAKIMYAAaa ila ni VIWEMBEEEee wanadunda na huwa wanasifiwa na madem..kiasi cha madem kupenda kutongozwa nao
 
Maswali hayo waulize wanawake wenzio maana ninyi ndio mnatengeneza mazingira. Kwani mnapotupa mnafikiria nini?
Kwani hiyo papuchi mmepewa ya nini? Mbapotamani kuzaa mtazaaje?

sasa ndiyo muitangaze mkishaila jamani mweee
 

Hayo wanafanya baadhi ya vijana, wavulana na Serengeti Boys. Kwa kawaida wanaume hawafanyi utoto huo japo sikatai wanaweza kuwepo wanaume kimwili lakini wavulana kiakili
 
Kumfanya mapenzi mwanamke ndio kufanyaje?
Nilihisi nimeelewa ila ulipoandika kile kipengele cha kwamba ni kumdhalilisha mwanamke nikashtuka kuwa huenda umemaanisha kitu tofauti!
 
kuna wanawake pia hu hadithia wasipofikishwa, nao tusemeje? ikimpinda vizuri ni lazima ujisifu
aisee sawa tu
hao wanaojisifia ndo wale wasioweza mavituzi wawapo 6 x 6....kuna WAKIMYAAaa ila ni VIWEMBEEEee wanadunda na huwa wanasifiwa na madem..kiasi cha madem kupenda kutongozwa nao
nadahini ni kweli
 
Ni adhabu, ni shida, ni starehe fupi yenye majuto na gharama kwani wengi mna tamaa na ni wa hafu na mna shida nyiiingi. Unajiremba nje kumbe ndani maji taka. Nk
 
Kumfanya mapenzi mwanamke ndio kufanyaje?
Nilihisi nimeelewa ila ulipoandika kile kipengele cha kwamba ni kumdhalilisha mwanamke nikashtuka kuwa huenda umemaanisha kitu tofauti!

hapana namaanisha kusex tu kwa starehe
 
Ni adhabu, ni shida, ni starehe fupi yenye majuto na gharama kwani wengi mna tamaa na ni wa hafu na mna shida nyiiingi. Unajiremba nje kumbe ndani maji taka. Nk

aiiiiii loh
 

Hakuna aliyekataa kwamba hakuna wanaume wenye tabia hizo tena wengine usimulia hata faragha zao na wake zao lakini si kila mtu yuko hivyo.

Kuna watu kwenye swala la mahusiano hatushei info na marafiki na ndio kuna ndoa zingine zinakuwa kwenye mgogoro mkubwa sana na wengine hawalali kitanda kimoja lakini hakuna mtu atakayejuwa.

Pia ukumbuke kila mtu ana choice zake wanawake wana choice zao na kama wewe ni choice yake mwanamke mwenye akili atakutongoza yeye na mwanaume unapoona mwanamke ni choice yako ndio unamwagia tongozo lako.

Sioni big deal hapo, otherwise tatizo kubwa sana la wanaume ni kutojuwa timing sahihi ya kuconnect na wanawake wenye sifa wanazotaka.
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona watu wanajificha hapa,ki ukweli kabisa KILA mwanaume LAZIMA aseme(sijui kama ndo kutangaza??maana hata kama ukimuambia mshikaji wako mmoja huko tayari nikutangaza) ila ni kawaida kusema,sasa inakuja hoja kuwa unasema ili nini.
1.Labda mwanamke huyo anajua majambo hadi chenji ya rada inabaki,yaan mauno viuno,mtu anajua mambo hadi balaa.(Kwa hiyo hapa nikumsifia)
2.Labda mwanamke alikuwa anazungusha mahakama(wanasema huwa ni wagumu),sasa siku atayempitia ataeleza kwa rafiki yake/zake kuwa yule demu bwana nimefanikiwa kusign pale.(UJIKO:firstπŸ™‚
3.Labda demu alikuwa mtu wa mashauzi mengi na nyodo kibao kitaa au mahali alipo,sasa akipitiwa mhusika atasema kuwa kamkomesha nyodo zote mfukoni,na mbaya sasa huyo mwanamke awe gogo kitandani,hapo atasemwa vibaya sana.πŸ™‚embarrassedπŸ™‚
..Kwa hiyo ndio kusema kuwa inategemea na aina ya huyo mwanamke anayesemwa/au kutangazwa,ila UKWELI hakuna mwanaume ambaye hajawahi msema dem aliyempitia,hata kama ni wale wanaojiuza njian au popote ipo siku ukikaa na washkaji utasikia tu..dah!kuna siku nlikula malaya mmoja anajua mambo dunia ya kati hakuna...
 

asante mkuu wewe umesema vyema nayo yasikiaga na akimla tigo ndiyo balaaaa acha kabisa atajuta kuringa
 
Huwa nashangaa wanaume kupewa lawama na kuambiwa eti wana vibamia wakati tatizo ni hizo papuchi oversize. Makombora, madebe ambayo hata ufanye adjustment gani hayawezejani. Acheni lawama. Kafa yeni plastic surgery nzipunguze. Loooh mnatuchosha watoto wa wenzenu. Mwanamke kabeba utadhani allocation ya wanawake 4 !!!
 
asante sana mkuu
 
wanawake wengine wanasimuliana saluni kwamba jamaa hana lolote ndio maana tunafanya kweli mapema hata akisimulia umeshakamua mzigo vya kutosha na ili uweke heshima kwa mwanamke kamua papuchi yake haswaaaaaaa ukicheza makida utaumbuka na atakukimbia ila suala la kutangaza kwa watu sio ishu hata mm sipendi ila mzigo piga vya kutosha
 
duh basi mkuu mbona hivi? una tatizo gani ? haha haha hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…