Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

ni ujinga na hao ndo wanafanya wanaume tuonekane si kitu siku hizi....mwanaume badala uwaze utamiliki vipi gari yako au nyumba, ye anawaza kujitamba kwa ngono
 
Wanaume wanapenda sifa zisizo na kichwa wala miguu. Kama hapa tu kwenye huu uzi kila mwanaume kashatafuna demu wa rafiki yake. Ilimradi tu wajsikie vizuri kwenye nafsi zao.
 
Hii hutokea pale mwanamke anapokuwa na dharau kwa wanaume wa kitaani kwake.tukishamlamba lazima umma upewe taarifa kusudi kumfanya ajirudi.
 
Mbona hata nyie wanawake mkiwanasa wanaume mliokuwa mkitamani kutembea nao huwa mnajitangaza kwa wanawake wenzenu?huoni ni kumzibia riziki mwanaume wa watu kwa mademu wengine?
 
lazima tuonyeshe kama kuna fursa, siwezi kufaidika mwenyewe.
 
It is better you study differences between male and female psych-sexology!
 
Aaaah kuna Vyuma vingine ukipita hata Malaika wanashangilia acheni upupu nyinyi
 

Naona hao wanawake ukiwaona waume zao unawaonea huruma hadi baasi
siku hizi unaweza kukuta mke kahaba na mume hajui....na kwa macho huoni kama wana shida ya pesa
dunia imebadilika
 
Kuna mitaa na mitaaa hizi tabia...
kuna mitaa mingine utamsaidia nani akusikilize
 
Naona hao wanawake ukiwaona waume zao unawaonea huruma hadi baasi
siku hizi unaweza kukuta mke kahaba na mume hajui....na kwa macho huoni kama wana shida ya pesa
dunia imebadilika

Hayakuanza leo hayo, yapo enzi na enzi na sababu si pesa tu.

Nnakushauri soma kitabu cha The perfumed garden cha Sheikh Nefzawi kilichotafsiriwa na Richard Burton. Utajifunza mengi sana kuhusu mambo yanayopelekea uzinifu.

Pia ukisoma One Thousand and One nights kitakufunza mengi kuhusu hila na vitimbi vya wanawake ambapo utaelewa kuwa havijaanza leo wala jana.

Kuna kisa pia cha Nabii Yusuf kimo ndani ya Qur'an.

Uvisomapo hivyo utaelewa kuwa haya si mapya.

Mbora kati yetu ni yule anaejiepusha nayo.
 

interesting ...
ntavitafuta hivyo.....
 
Siku hizi topic za maana zimepotea JF!!!
 
Mi napenda private life remaining private. Lakini hustaajabishwa na wanaume wengine wanaoshinda wakisimulia nani na nani wamemkaza
 
Dada yangu Miss chagga
Mwanaume kujisifia ni nature yake sababu mbunye kwake ni oxygen hivyo sio swala la kubargain
Ni kama nyinyi mnavyojisifia pale mnapopewa affection yanguvu na mahaba kedekede..

Swali wewe hujawahi kujisifia/sifia kwenye swala hilii..???
 


Hivi kile kitabu cha 'alfu lela ulela'
ndo hiko hiko 'one thusand and one night?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…