miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #261
sawa basi
Haya jipige kifua hivyo hivyo pengine utaonwa.
Ngoja tusubiri, Rejea uzi mmoja humu wiki mbili zilizopita "Ananiomba baada ya kuwa na mahusiano nae muda mfupi tu" [!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!]Hakuna cha bango wala nini;
Sana sana utakuja na uzi ........... she was so hot au wanasemaga ilikuwa na joto la kutosha ...............
unawashwa nini etieee???? Sijakusikia uzurii we mtoto
anti jamani wewe si uliniambia nikiingizwa madude ya watu wakubwa nitakuwa mzee ? anti kumbe unanidanganya unafaidi mwenyewe nimekujua leo
miss chagga umewahi kutana na vivulana vya hivi mae??? yani oooh sijui miss chagga anahesabu misumari ya bati hana lolote, mi sipendiiiii tena akitokea wa hivyo apite hiviii
mimi ni ke mkuu
mimi ni ke mkuu
Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu, huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi.
- Ni ufahari/ushindi?
- Starehe?
- Unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
Wanaume fungukeni tupate kuelewa.
miss chagga umewahi kutana na vivulana vya hivi mae??? yani oooh sijui miss chagga anahesabu misumari ya bati hana lolote, mi sipendiiiii tena akitokea wa hivyo apite hiviii
benteke loh kitu kinaamka chenyewe naomba uniambie alikuwa anafanyaje?miss chagga kwa kweli inategemea...kuna demu anaweza akakupa gemu ukitoka hapo unaongea njia nzima mwenyewe kama kichaa...na usiku unaweza ukaota atii. Kuna wadada wanat*mbana jamani. Wacheni kabisa. Kuna mmoja mimi na namba yake nilidelete kabisa. Nilijikuta asubui badala ya kwenda kazini naenda kwake..kidogo nifukuzwe kazi. sasa mdada kama huyo huwezi wacha kushare experience yake. Hah wacheni aisee...