Kwa wanaume tu walio oa

Kwa wanaume tu walio oa

Labda km wanaume ni malaika watimilifu

unahisi mwanaume mmoja anamtosheleza mwanamke kila kitu anachohitaji?..simaanishi pesa na kitandani tu
Kuna mengine..mf kihisia ..wanawake watu wa hisia sana
Mi sio malaika ila sehemu ndogo tu ntayofeli.
 
Huwezi jua mwenzio anapenda nini
Unaweza dhani umepatia ila ye sio hitaji lake kwa mda huo

tufikiri kwa marefu na mapana
We mbali na Pesa, Sex na Zawadi kuna kipi unahisi siwezi kukutimizia.
 
Binadamu are complex
ndo mana kila siku tunasomana

Section ya hisia mbona hujataja...vipi je muda na mimi?.

unajua love languages?.kila binadamu ana namna inayomfanya ajiskie anapendwa zaidi...rejea kitabu cha five love languages kupata maarifa zaidi

Na kuna Ile mtu ukishapata kitu fulani unaanza kuwa na mahitaji mapya mengine mfano ukishapata food clothing and shelter mahitaji yako yanakua tena si hayo bali kuwa na familia/mapenzi na kuwa mtu bora zaidi kadri inavyowezekana/self actualization...hapa rejea Maslows' hierachy of human needs

mfano mwanamke mwenye pesa..pesa sio hitaji lake hivyo labda ujikite kwenye mapenzi na mengineyo mf kujiendeleza kielimu,kuendeleza watoto na familia kwa ujumla

Kikubwa tupende kuyatizama mambo kwa marefu na mapana

na hata kwa wanaume pia
 
Nadhani ni kweli na ina'apply pande zote mbili...
Kwanini uwe mtu wa tafrani na visirani home wakati ushapunguza stress kidogo sehemu?
Akiwa bize na nyumba ndogo na we unapooza kidogo mara moja moja akirudi home amani inatawala
Kelele za nini na we una yako.?
Kikubwa kuheshimiana na kupendana ndani
Du....,.
 
Umenikumbusha sociology wewe
Binadamu are complex
ndo mana kila siku tunasomana

Section ya hisia mbona hujataja...vipi je muda na mimi?.

unajua love languages?.kila binadamu ana namna inayomfanya ajiskie anapendwa zaidi...rejea kitabu cha five love languages kupata maarifa zaidi

Na kuna Ile mtu ukishapata kitu fulani unaanza kuwa na mahitaji mapya mengine mfano ukishapata food clothing and shelter mahitaji yako yanakua tena si hayo bali kuwa na familia/mapenzi na kuwa mtu bora zaidi kadri inavyowezekana/self actualization...hapa rejea Maslows' hierachy of human needs

mfano mwanamke mwenye pesa..pesa sio hitaji lake hivyo labda ujikite kwenye mapenzi na mengineyo mf kujiendeleza kielimu,kuendeleza watoto na familia kwa ujumla

Kikubwa tupende kuyatizama mambo kwa marefu na mapana

na hata kwa wanaume pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom