Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Napumulia mashine kama Baba wa Taifa....ha ha ha, hivi huwa unavuta nini??
Na mie nina mpango wa kwenda kumzikisha kijana mmoja sehemu yake bila wimbo wa taifa.
Amin amin nakuambia kabla jogoo hajawika utakikana kikojoleo chako mara tatu!!
watu wote waseme Amina