Kwa Wanaume tu. Tiririkaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wanaume tu. Tiririkaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bi nyakomba, Sep 6, 2012.

 1. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 386
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Naomba kuuliza hivi ni kweli wanawake wanatofautiana utamu? kivipi? Msinishambulie nijibuni tu.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,550
  Trophy Points: 280
  mnhhhhhhhhhhhhh
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe umeambiwa sio mtamu?
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,981
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hakuna kitu tamu kama kitimoto arifu...
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,257
  Likes Received: 22,892
  Trophy Points: 280
  Ni kweli.

  Kuanzia ulaini wa ngozi zao, jinsi nyonyo zao zilivyo, usafi wao, ukubwa au udogo wa maumbile yao kule downtown, ukavu au unyevunyevu, utundu na ubunifu, n.k.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,257
  Likes Received: 22,892
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mtamu?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  aisee ? mnatest vipi sasa? au unachukua tu hivohivo ukikuta chungu kama nyanya chungu ndo ishakula kwako?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  mi mtamu balaa..mwanzo mwisho
   
 9. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,139
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  utamu wa mwanamke kiuno..
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sijui. sijaonjwa.
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ndio maana unaitwa sweety!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,497
  Likes Received: 3,370
  Trophy Points: 280
  Naomba nikuonje ili nifanye comparison na huyu niliyenaye.
   
 13. N

  Neylu JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jibu swali sasa....
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,894
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Raha ya Ubwabwa Matandu,
  Utamu wa Mwanamke Chachandu.
  (Nanukuu tu)
   
 15. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,915
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  .
  Ha! ha! ha! ... toka kwenye ule uzi ulipoamua kujipa na wewe jina la Dr. Ngabu! naona kazi ya kutoa ushauri kidocta imeanza mara moja ..

  Pamoja mkuu Nyani Ngabu
  .
   
 16. peri

  peri JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  wengine hatujawahi onja ila nadhani wanatofautiana.
  Ngoja wataalam waje waelezee.
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Ukitumia Litmus paper ukaichovya kunako utapata majibu,if its color turns RED,basi ujue huyo ndio mtamu haswaaah!
   
 18. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 630
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Nyani Ngabu nakupa like!Kuna sehemu unaweza kuta tope mpaka likauke weee!Pia naongezea mwanamke anasauti tatu jamani!Wengi sauti moja hawapendi kuitumia kabisa ktk mambozii.....!Mimi binafsi napenda aliee sio kwauchungu no rahaa!Sasa wengine anakuangalia tuu kama anakutishia umalize haraka!
   
 19. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,909
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  oi !!!!!!
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,550
  Trophy Points: 280
  we mtamu?
   
Loading...