Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
Mimi nadhani kumpiga marufuku baba ya watoto haufanyi vizuri, hapo ndio utachochea watafutane chemba mwisho wa siku wanakumbushiana.kama ni watoto wadogo under 7yrs naweza nikamuoa mamayao na kusetle nae.ila kuna restrictions flan flan hivi(sitaki kuwaona baba yao kwangu)
upande wa pili wa sh ni wanandugu wa mwanaume sizani kama wanaweza wakawa comfotable na huyo mwanamke.
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
Umechumbia aliyezalishwa nini!!?Hili linawezekana kwa kuwa mhusika anajua kabla ya kuingia kwenye hiyo ndoa, lakini pia haya mambo ni ya kisaikolojia zaidi kwa wanaume walio wengi mfano mzuri japo ni wa nje ya maadili ni hivi, unakuta mkaka hajaoa na anamsifia mke wa mtu ni mrembo na pengine anatoka nae na huyo mke wa mtu ana watoto hata watatu lakini hapa haionekani kama ni shida lakini mtu huyuhuyu linapokuja suala la kuoa anakwambia mwanamke huyu ana mtoto/watoto hivyo inakuwa ngumu kuoa. Kama uliweza kutoka na mke wa mtu mwenye watoto na pengine ulikuwa una wapenzi wengine wana watoto kwanini linapokuja suala la kuvuta jumla unarudi nyuma? Mie nadhani ni suala la kimtazamo tu hili
Umechumbia aliyezalishwa nini!!?
ndio maana siamini kwenye ndoa baada ya kuvunjika ya kwanza ni mtazamo wangu tu.
FirstLady1 DU JAMANI KILA MTU NA BAHATI YAKE NA SIKU HUZI HII KITU IMEENEA SIJAJUA WANAUME WANALICHUKULIAJE JE NAHISI KUWA WNAJUA AMESHAJIFUNZA MAISHA SASA NI NIDHAMU NA ADABU AU LA I DONT KNW WHAT GOES ON THEIR MINDJmos iliyopita nilikuwa kwenye harusi ya dada mmoja anaolewa na ana watoto wanne
Mwanaume ni kijana kabisa nadhani 30-35 years na yeye hana mtoto.
Maswali milioni yalikuwa yanatembea kichwani kwangu...