Kwa wanaume tu; soma hapa!

FirstLady1 DU JAMANI KILA MTU NA BAHATI YAKE NA SIKU HUZI HII KITU IMEENEA SIJAJUA WANAUME WANALICHUKULIAJE JE NAHISI KUWA WNAJUA AMESHAJIFUNZA MAISHA SASA NI NIDHAMU NA ADABU AU LA I DONT KNW WHAT GOES ON THEIR MIND
nivea labda na bahati ya mtu inahusika ,,imagine kijana hajawahi kuoa na hata watoto mwenyewe hana kapenda mdada mwenye watoto wanne....sijui inakuwaje labda wanaume wenyewe wanaweza kulisemea hili jambo.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo linakuja mwanaume akitaka kua na mtoto na mama akatoa nje akisema ashazaa wanne wanamtosha
 
kwa kifupi huwezi kuwatedea haki waale watoto na pindi huyo mwanamkw atapokuzalia watoto lazima tofauti zitajionesha kati yako na wtoto wa baba mwingine ho ndo ubinadamu! itakusumbua sana na kumbuka kwamba wanaume huwa hatuachi damu zetu sasa je umewahudumia muda wote mara mwenye watoto antaka akawachukuwe na sheria inamuruhusu kufanya hivyo utafanyaje au huyo mama asipozaa akaishia tu na hao wanwake utafanyaje? wazazi huwa hawachani ipo siku watakutana na watamegana tu!
 
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu

Mwanamke niliye naye kwenye ndoto zangu saiv ni wa namna hii tu given awe ameshamaliza upuuzi wake wa usichana huko na utoto mwingine
 
never...............................
kama umeshaoa sawa lakini kama haujaoa usiseme never mana haujui uko mbeleni itakuwaje..........unaweza ukajikuta umempenda mdada mwenye mtoto ingawa mwanzo ulishasema never.................usitukane mamba wakati haujavuka mto.
 
Sio kila mwanaume anapoenda kwa mwanamke anaenda na ukweli. Na ukimwamini kila mwanaume anayekuambia anakupenda, unaweza kuwa jamvi la wageni. Nivea anajua kabisa kuwa na mtoto/watoto kabla ya kuolewa inapunguza 'points' za kuwa wife material (najua hilo hulikubali, but ndo ukweli)
mkuu Tuko na je kama yeye naye ana labda mtoto 1je naye atakuwa amepunguza points za kuwa husband material?nijibu Tuko
 
Last edited by a moderator:
mkuu Tuko na je kama yeye naye ana labda mtoto 1je naye atakuwa amepunguza points za kuwa husband material?nijibu Tuko

Kwa wanaume kuwa na mtoto/watoto sio inshu kiviiile... Nadhani kuna ka-element ka nature katika hili... To my opinion
 
ndiyo naoa mbona kibao wamefanya hivyo mpaka wamekuwa wazee bado wanaishi vizuri,unampenda naye anakupenda oa
 
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
nivea,
Kuna mambo mengi sana ya ku consider kwenye hili suala lako ambayo watu wote wawili inabidi wakubaliane nayo from the early beggining,
La kwanza ni kwamba kuwa na mahusiano inawezekana lakini tatizo linakuja itakapofikia wakati wa kwenda kwenye ndoa maana ndoa huwa ni zaidi ya watu wawili. Mnaweza kuamua kuendelea na mipango yenu lakini pia muwe tayari kupambana na vikwazo vingi sana.

Pili, watu wengi huwa wana mipango yao ya maisha, kwa mfano mwingine atasema yeye anataka watoto wawili tu, wewe tayari una wawili ukiongeza wawili wanakuwa wanne so kunakuwa na kikwazo hapo.

La tatu ni kwamba hata kama ataamua kuwa treat watoto hao kama wake bado itafikia wakati watoto wenyewe watataka kumjua baba yao na hapo mahusiano baina ya hawa watoto na huyu baba yao wa kufikia yataanza kupwaya (this is from experience)

Kingine ni mtizamo wa wanaume wenyewe maana wataanza kujiuliza umefikia kuwa na watoto wawili, why didi you happen to be single again? So kuna mambo mengi sana ila cha msingi ni kama utaweza kupata mwanaume ambaye katika maisha yake amekuwa victim wa circumstance hii so he wont judge you or the kids coz he will be judging himself as well.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu

Mimi Sioni kama Kuna Ubaya. Mana Kama tunapendana na tayari mwenzangu anawatoto sina budi kuwapenda na hao watoto pia.
Kama baba wa hao watoto angekuwa anafahamika mahali alipo na kama angekuwa tayari kuwachukua na kulea hao watoto
basi tungempelekea ili awalee, ila kama hatujui baba wa hao watoto alipo basi Mie ntabeba jukumu la kuwalea.
Maana ni bora nikawa na Mwanamke ambaye ameshazaa watoto wawili kuliko Mwanamke ambaye amewahi kutoa Mimba Moja, Mbili au
.....!!!!!!!!!!!!
 
kuoa sio shida na ukatunzawatoto,ishu ni kuwa mufuate sheria na hdi unauliza hlo swali inamaana umempenda camon follow ur heart sio kujari watu watakavyoona au sema kuwa wa kwanza kushow real love.
 
Are you looking for number of children someone have or real love? Asume you get a woman who is virgine but no love, utapata hiyo confidence ndani ya hiyo ndoa?
 
Back
Top Bottom