Kwa wanaume tu; soma hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaume tu; soma hapa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nivea, Jun 26, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
  karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aise nimeingia humu ili nijihakikishie haumtongozi my man. LOL
  Ngoja niwapishe!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, expect some disappointments lakini.

  Kwanza wewe mwenyewe hauko 'inferior' sababu ya hao watoto?
  Sio achelewe kurudi nyumbani uanze 'sababu umeioa na watoto'

  Kabla hujaanza kuulizia mwenzio, jiulize wewe mwenyewe kama uko proud kuwa na watoto hao.

  Then uanze kuuliza mtu wa pembeni, sababu swali hili tu linaonesha hujikubali ina a way.

  kama yeye mwenyewe kakubali bila kumshikia bunduki wewe wasi wasi wa nini?

  Ndoa/mahusiano ni wajibu wa watu wawili kuyafanya yafanikiwe
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hebu rudi tumpe darasa huyu la 'cofidence management baaya ya kuwa na watoto 6 kila mmoja na babae'

   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Sometimes ni ngumu kumfanya mtu awe na mtazamo kama wako?
  Halafu si umeona jinsi gani anavyotegemea mercy ya kina kaka, na kusisitiza kutubagua!
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mi binafsi siwezi kuwa komfotable kuna mida jamaa watajifanya wanaleta fedha ya
  matumizi anakuta nimtunza kitu kinaita akagongea gemu kirahisi siunajua mtalaka hatongozwi
  unakuta tayari wamemaliza mambo na kadri anavyokua na watoto wengi basi jua ndio hivy hivyo
  itakavyokua rahisi kusalitiwa
   
 7. mito

  mito JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,643
  Likes Received: 2,030
  Trophy Points: 280
  Aisee kwa wanaume walio wengi (at least from my experience) akikubali ujue anategemea zaidi ya love, yaani pengine anaona mambo yako ni mazuri hivyo utamtunza yeye pamoja na mtoto/watoto wake. Hapa ninamaanisha awe single au na yeye awe na mtoto/watoto motivation in maslahi/maisha mazuri kwanza. Usishangae baada ya kufunga ndoa akadai mbadilishe jina la mmiliki wa gari, sijui nyumba, biashara n.k So be careful my sister, si rahisi kihivyo!

  Hivi hujawahi kuona au kusikia wajane wakitapeliwa mali walizoachiwa na wanaume zao kisa amepata mwanaume wa kumuoa na kuishi naye na watoto wake hata kama anao 4? Kuna mama mmoja Dodoma alifiwa na mumewe, akamwacha na watoto 3 na mali lukuki. Basi wanaume kibao walikuwa wanataka kumuoa. Akaja akaingia mkenge akaolewa na mmojawapo. Kilichotokea ni majuto hadi leo......
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio maana siamini kwenye ndoa baada ya kuvunjika ya kwanza ni mtazamo wangu tu.

   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,735
  Trophy Points: 280

  Kwa wanaume wengi hili si tatizo ali mradi tu huyo Baba wa watoto asiwepo kwenye picha, mara nyingi kama bado kuna mawasiliano naye basi varangati huweza kutokea na kuharibu amani katika mahusiano.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kaunga rafiki yangu sijakubagua unajua mfupa mpe mwenye meno ukimpa kibogoyo ni matusi japo kuwa anaweza mumunya kidogo,au wadhungu husema, the one with scissors knows how to get hurt naukaribisha mchango wako kwa moyo mkunjufu.
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  BAK mkuu nimekupata vizuri na nimejifunza kitu kikubwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kama kuna mapenzi ya kweli, kuoa mke mwenye watoto wawili inawezekana. Kumbuka kuwa ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kuna changamoto nyingi sana zitajitokeza pale ambapo muunganiko wenu wa ndoa hautasababishwa na upendo baina yenu, bali vitu fulani fulani.

  Kuna hatari ya dharau na hali ya kutokuheshimiana kujitokeza kwa mke/mume na watoto wa mke/na hao mtakao zaa huko baadaye kama wana ndoa nyie mtashindwa kuelewana na kupanga mipango yenu vizuri. Pia ndg wanaweza kuleta vikwazo sana ktk mahusiano yenu. Kumbuka pia hao watoto watahitaji kwenda kwa baba yao/zao. Ni muhimu kuliweka hilo vzr mapema na kutafuta njia sahihi ya hao watoto na wewe mama mtu kuwasiliana na huyo mzazi mwenzio wa zamani vinginevyo unaweza kuonekeana unakumbushia enzi na kuhatarisha usalama wa ndoa mpya!

  Lakini ukweli ni kuwa wapo waliofanya hivyo na kufanikiwa ingawa si wengi sana ila mwisho wa siku, hatma ya maisha yenu ya ndoa ipo mikononi mwa nyie wanandoa wenyewe.
   
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...nikujidanganya kuwa eti huyo baba mtu hamna mawasiliano nae kabisa...maana kwa kuwa ulishazaa nae basi watoto watatka kumuona baba yao hivyo basi ni vyema kulikubali hilo unless kama huyo baba kafa
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nadhani haumtendei haki nivea...
   
 15. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Umempenda mwanamke mpende kama alivyo watoto ni matokeo ya upendo wenu,labda nikuulize swali unapofunga ndoa unafunga na watoto? pili kama mwanamke ni kigoli hana watoto mnapofunga ndoa si kwa matumaini kuwa mtazaa watoto?asipopatikana mtoto unafukuza mke?we endelea tu na mipango yako watoto ni zawadi toka kwa mungu yawezekana hao ndiyo wakawa wako jumla zawadi yako toka kwa mungu wala haisumbui.
   
 16. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ushauri mzuri horsepower na mungu akubariki
   
 17. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Kuweza ama kutoweza kwa mwanaume mwingine kunategemea na mazingira ya huo uhusiano, kwani udhaifu upo kwa upande mkubwa kwa mwanamke ambaye ana "link" na huyo mzazi mwenzie. Ni kama kuwa na mwanamke ambaye amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wengine kabla ambao hawakuachana kwa ugomvi. Hivyo msimamo wa mwanamke ndio utakuwa na uamuzi kwani watoto ama uwepo wa huyo mwanaume mwingine sio kikwazo as long as kuna upendo wa dhati, heshima, adabu, nidhamu na kujaliana.
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kati ya swali gumu litakaloibuka ndani ya ubongo wa mwanaume ni kuwa kama huyo baba mtoto yupo, kwa nini huishi nae/hukuolewa nae?
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jmos iliyopita nilikuwa kwenye harusi ya dada mmoja anaolewa na ana watoto wanne
  Mwanaume ni kijana kabisa nadhani 30-35 years na yeye hana mtoto.
  Maswali milioni yalikuwa yanatembea kichwani kwangu...
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Noupe! Labda kama ni 'kupita' na si ndoa:mod::mod:!
   
Loading...