Kwa wanaume tu-offer ya wkend

Kwa wanaume tu-offer ya wkend

Hahahaaaaa me likey this one..

It would have been better if the counsel had been extended beyond men to include everyone with smelly and musty armpits!
 
Duh kumbe binti mtaalamu wa kufunda wanaume? Du vipi umeolewa au nataka kutangaza ndoa kwako!
 
acheni kuweka hoja za kitoto...kunuka maana yake nini?wanawake wangapi mnanukia juu na chini tofauti na sura zenu?90% ya mademu wabongo ngonda..kitu finga then pata jawabu.MAANA YA KUNUKA NI KUNUKA HATA Ukifanya farmigation zoezi litaendelea tuuu
 
hiase wewe lazma unapenda wallet sio vifua inaonekana enz za ujana wako uliwa buzi sana wadau mpaka soksi zinawatobokea then unawapiga majungu ila mtoto wa mjin unajua namna ya kwenda hongera
 
Hujawahi pata mgeni akavua viatu halafu hali ya hewa ndani ikabadilika ghafla na yeye anaendelea tu kuunga stori tena peacefully na kesho nakutwa yake vivyo hivyo?? sasa huyu anajitambua kweli?

Huyo wa hivyo, simkawizi kumtupia madongo live.Unavua viatu vya nini sasa?
 
Smile hao wanaumme unaowazungumzia ni wale wasukuma mikokoteni,wafagiaji maofisini na vyooni,wafagia barabara,wabeba zege,wasukumiza maguta,beba beba miatano ehehe mia tano,sidhani m/me wa ppf tower ofc au bank awe hivyo!!!!
Utashangaa hao wa PPF tower wanaweza kuwa wazembe kupindukia!

Chupi haibadilishwi hadi daktari amshauri.
 
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-

haya maeneo nilikwenda nikakuulizia mbona hukuonekana................yaani kumbe ilikuwa ni zuga tu?
 
Smile Umenichekeshaje? lol.... Haya bana, hope walengwa wamezingatia ujumbe huu wa Msingi.... :biggrin:
 
Back
Top Bottom