Kwa wanaume tu-offer ya wkend

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:
 
Duh.... Smile umenifanya nismile.... hii ndio ofa?? Ofa ya madongo?? Anyway waliolengwa ujumbe umewafikia though tatizo huwa ni kujitambua kuwa uko hivyo.
 
mmh jaman... tha ndo nn hvyo, tatzo ni mwanaume ulienae.!! et deodornt ya buk 3, akat 2natumia za 20 kwenda juu.. Jarib kumchange hyo mchz af unletee jib
 
dar joto lazma 2achie vifua co kukomaa na suti umekaza tai na ili jua ka baro wako... na nyie mue mnafua nguo zenu, mdada unamit nae cku 5 mfululizo na kipedo kile kile ata ka ni fashen bt hyo imezd
 
duh.... Smile umenifanya nismile.... Hii ndio ofa?? Ofa ya madongo?? Anyway waliolengwa ujumbe umewafikia though tatizo huwa ni kujitambua kuwa uko hivyo.
kwanini msijitambue ?
 
mmh jaman... Tha ndo nn hvyo, tatzo ni mwanaume ulienae.!! Et deodornt ya buk 3, akat 2natumia za 20 kwenda juu.. Jarib kumchange hyo mchz af unletee jib
usipende kupersonolaiz vitu my dear sipendi maudhi
 
Dada smile kwa kunusa siumrekebishe huyo mpenzi wako kama bado wampenda kuliko kumrusha hewani kama hivi na kwa nini utamani vifua vya waume wa wenzio??
 
mmh jaman... tha ndo nn hvyo, tatzo ni mwanaume ulienae.!! et deodornt ya buk 3, akat 2natumia za 20 kwenda juu.. Jarib kumchange hyo mchz af unletee jib
hizi deodorant za buku mbili zitakuwa zile za ku-roll za wanafunzi, low quality lakini Smile hapo kamaanisha hata mtu mwenye kipato kidogo anamudu kununua......lakini alivyosema mtu hana deodorant halafu anakaa viti virefuuu... hapo amefanya mixing/scratching
 
hihihihih umesahau kuwaambia na manyoya ya kwapani wapunguze, la wasokote rasta tujue moja
 
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:

haa haha....nice one lady, asante kwa ukumbusho...

...nilikuwa nakamulia limao mwenzio, ngoja nikanunue Nive...ooppss...brut!
soksi nalaumu kucha la dole gumba!...halikatiki kwa kukomaa!

anyway, msg delivered...lol
 
Back
Top Bottom