Kwa wanaume tu-offer ya wkend

kwanini msijitambue ?
Hujawahi pata mgeni akavua viatu halafu hali ya hewa ndani ikabadilika ghafla na yeye anaendelea tu kuunga stori tena peacefully na kesho nakutwa yake vivyo hivyo?? sasa huyu anajitambua kweli?
 
haa haha....nice one lady, asante kwa ukumbusho...

...nilikuwa nakamulia limao mwenzio, ngoja nikanunue nive...ooppss...brut!
soksi nalaumu kucha la dole gumba!...halikatiki kwa kukomaa!

anyway, msg delivered...lol
mmmh mbu wewe ni male kwanza?
 
Hujawahi pata mgeni akavua viatu halafu hali ya hewa ndani ikabadilika ghafla na yeye anaendelea tu kuunga stori tena peacefully na kesho nakutwa yake vivyo hivyo?? sasa huyu anajitambua kweli?
hiyo mijitu ipo kibao unakuta lenyewe linapiga stori lipo comfortable sana tu ..aa mimi naliambia live hata kama ni bro wangu najua ukimwambia ndio harudii tena
 
We smile umefikiria nini? lhebu cheki mapigo yangu, kwa hiyo ukiwa karibu na mimi hautasikia halafu ya socks wala viatu

China_Wholesale_Sebago_shoes201092039191.jpg

pi_socks3_510px.jpg
 
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU
LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT
NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA USINUNUE YA NIVEA MAANA MPENZI WANGU ALIKUWA ANATUMIA IYO SIIPENDI KABISA IYO HARUFU NAWEZA KUKUZABA KIBAO
UNAKUTANA NA MWANAUME ANANUKA HARUFU UTADHANI LIBEBERU LIMEKAA ZIZINI MWAKA BWANA ,DAAAH KIUKWELI MNAKERA
SOKSI NAZO WACHINA WAMELETA ZINAUZWA KWA MAFUNGU KAMA NYANYA,FUNGU LA SOKSI PAIR SITA ELFU MOJA ,UNAVAA SOKSI ZINANUKA TENA ZIMECHANIKA WHILE UNAWEKA HESHIMA BAR KWANINI?
TUPENI RAHA HUKU DUNIANI JAMANI ,MBONA SISI WANAWAKE TUNAIPENDEZESHA DUNIA? TUNASMILE VIZURI,TUNANUKIA SAFI.KAMA MAUA VILE
NA IYO TABIA YA KUKOJOA OVYO BARABARANI IYO PTUUU MNACHEFUAJE.KILA MAHALI MNAKOJOA HAMNA BREAK AU NI MAMBO YA CAMERUNI HAYO YAMEWALETEA UGONJWA?
NA TABIA YA KUVAA SHARTI HUJAFUNGA VIFUNGO KIFUANI MNAMTEGA NANI ? WATU WANATEGEKA KWA WALLET BWANA (SIO MIMI LAKINI)
NAWATAKIA WKEND NJEMA
NITAKUWA CINEMA MLIMANI CITY SAA KUMI NA MOJA HADI SAA MOJA -IYO NI JMOSI
JPILI CHURCH -THEN KWA MWAKASEGE BIAFRA KINONDONI-
LOVE U MY FELLOW MEMBERS SAAANA :flypig:
Kumbe semina ya mwakasege imeaanza?Ninatamanije!!!
 
Love you too smile.......but duh umiweka hii uzi ina hard way ila kwa kweli hata kwetu waaapo

N u know waat !!!!!!! Next time uwaambie na mashost wako pia banaaa smtmz aaaaaaagh shombooooo ferrrriiiiiiiiiiiii

Tutaambiana maskani kwamba ushaanza kukinukisha.........we work on advice
 
love you too smile.......but duh umiweka hii uzi ina hard way ila kwa kweli hata kwetu waaapo

n u know waat !!!!!!! Next time uwaambie na mashost wako pia banaaa smtmz aaaaaaagh shombooooo ferrrriiiiiiiiiiiii

tutaambiana maskani kwamba ushaanza kukinukisha.........we work on advice
tutaambiana tu.hv kwanini mnakojoa ovyo barabarani mkuu?
 
Back
Top Bottom