Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
.........Eti?:yawn:miss u too mi nishawai kupiga nayo seven years hujaipata iyo
.........Eti?:yawn:miss u too mi nishawai kupiga nayo seven years hujaipata iyo
wapi watu kwenye lift unatamani ufe?smile hao wanaumme unaowazungumzia ni wale wasukuma mikokoteni,wafagiaji maofisini na vyooni,wafagia barabara,wabeba zege,wasukumiza maguta,beba beba miatano ehehe mia tano,sidhani m/me wa ppf tower ofc au bank awe hivyo!!!!
wallah tena nimeweka na thread hujaiona? Cheki iyo thread babu ilikuwa patashika mafuzi yalinitesaje
Wapi hiyo...! Nataka kucheka kidogo!:A S-coffee:wallah tena nimeweka na thread hujaiona? Cheki iyo thread babu ilikuwa patashika mafuzi yalinitesaje
Ngoja nikaideku.....!humu mmu
hayo mambo ya mafuzi yana thread yake hapa toa ushauri kwa wanaume waache kufanya air pollution mjini hapa
Asante sana Smile
Duh hilo dongo balaa sana
limewagusa washikaji fulani hivi...
papaa ya arsha ambia iyo mijaluo hapo na masai waoge bwana air pollution jamani