Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
mbona hiyo picha inatisha anamwomba nini huyo kuku???
il wengi hamjiamini kwenye mapenzi confidence yenu ni hela,mnajitesaje ?Naona unachokoza nyuki kwenye mzinga...............................!:becky:
Kuna vidume vinalamba tu vinakimbia (hit & run)
Hawachagui sijui wa mia tano sijui milioni, ukiingia king unapigwa halafu selaaa anatambaa...............!:becky:
mbona hiyo picha inatisha anamwomba nini huyo kuku???
Sijaenda huko best, atakuwa ni jamaa tumefanana tu!!!!!si ulinimiss wewe,toka huko kwa mganga bana
Ili mwanaume uwe. Na raha katika mahusiano, hakikisha kama wewe ni wa laki msake mpenzi wa elfu hamsini, kama wewe ni wa milioni saka mpenzi wa laki tano, kama wewe ni wa elfu kumi saka wa elfu tano, kama wewe I wa elfu msake wa mia tano, ila kama unajikweza utakufa kidedea! Maana kama wewe ni wa laki demu wa milioni wa nini au mnataka usiku watu wamelala wewe kuku anakunyea kichwani kwako! halafu demu wako umempa prado na mama yake vitz? mjipange
![]()
kama sio mambo haya unafikiri Erickb52 anawezaje kuwamiliki Amyner na Kipipi hizi ndio zake huyuIli mwanaume uwe. Na raha katika mahusiano, hakikisha kama wewe ni wa laki msake mpenzi wa elfu hamsini, kama wewe ni wa milioni saka mpenzi wa laki tano, kama wewe ni wa elfu kumi saka wa elfu tano, kama wewe I wa elfu msake wa mia tano, ila kama unajikweza utakufa kidedea! Maana kama wewe ni wa laki demu wa milioni wa nini au mnataka usiku watu wamelala wewe kuku anakunyea kichwani kwako! halafu demu wako umempa prado na mama yake vitz? mjipange
![]()
il wengi hamjiamini kwenye mapenzi confidence yenu ni hela,mnajitesaje ?
Halafu mnalilia 50/50 mtaendelea kuwa watumwa wa Wanaume mpaka mwisho wa Dunia hii.ila mwanamke kama wewe ni wa mia tano kutoka na mwanaume wa milioni ruksa
il wengi hamjiamini kwenye mapenzi confidence yenu ni hela,mnajitesaje ?
si ulinimiss wewe,toka huko kwa mganga bana