Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
nakucha nakubulagwa maganiko, hamza kalala nalila masomanda eeh.
Nyimbo za TANU au NUTA?
eeeeee TANU yajenga nchiiiiiiii............
Nyimbo za TANU au NUTA?
eeeeee TANU yajenga nchiiiiiiii............
Dah siunajua sisi mambo mengi tumeyakuta ukubwani?Dogo, NUTA i.e National Union of Trade Association (Msondo Ngoma), ikawa JUWATA (Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania) baada OTTU Jazz Band!
HahahaaaaB52 !
Huu uzi , kwako maji ya shingo! Sijui nikwambie ukae pembeni labda, vya mbegu ama ma'handsome wa zamani tucheze nao.
Mleta mada hakika umenikunaje! Kuyakumbushia mambo ya Nuta ?
Hebu nikuchape na hii kwanza :
> Lakiini ahadi zako zoote za uongo,
Kusudi lako kupenda Daada kunikomoa,
Punguza chenga zako ooh,
za danadana, umekwisha nidanganya saana dadaa,
na kwa hiyo dada oohoo,
ninakunya unayoyafanya dadaa,
hayana maana.
NA HII
> Juhudi walizofanya hao wapigania uhuru zimewafanya kujitoa katika mikono ya wakoloni ,
na sasa Msumbiji ni huru,
vivaaa !
Vivaaa Msumbijii
vivaaa Frelimooo!
Hahahaaaa
Nimekukubali aisee....ila nina wasiwasi umezijulia pale Villa Park na Enzi hizo....
Kama ni enzi hizo tunakunayang'anya Husny kwa kuwa atakuwa amepoteza haki yake ya msingi ya kuwa na rika wake....
Lol
Chagua moja
Dah siunajua sisi mambo mengi tumeyakuta ukubwani?
Ila akina Juwata nawakumbuka ila NUTA mgogoro aisee
Mwenye rekodi hii na zile Msondo namba moja na mbili ani PM tafadhali tufanye dili