Kwa wanaozikumbuka nyimbo za NUTA

Kwa wanaozikumbuka nyimbo za NUTA

Ndugu zangu nauliza leo,ili nipate kufahamishwa;Tulikuwa mimi na baba,mama ,mke na mwanangu.Tuliipanga safari tukiwa ndani ya ngalawa;katikati ya bahari ngalawa yetu ilizama. . . . .Ndugu zangu nifahamisheni nimuokoe nani.Wa kwanza baba wa pili mama nimuokoe nani,mke wangu na mwanangu wote wakinitegenea . . .
 
Kilimo cha kufa na kuponaaa ndio ngao yetu ya kujikinga na balaa balaa la njaaa
Tusilime tulivyozoea
Tutumie mbolea
Kwa maagizo ya wataalamu njaa itapotea
 
Mie natafuta kibao cha Miaka 10 ya Uhuru Msondo Ngoma...
Baadhi ya maneno ya wimbo huo ni:
SASA TUNAWAITA WAJE KUONA EEH,MAENDELEO YETU YANAKWENDA VEMA!
Please mwenye nacho anisaidie kwa whassap.Pia kama kuna ngoma ya zamani unaitaka hasa Mbaraka Nwishehe na Marijani niambie naweza kukupa niliyonayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom