Kwa Wanaopenda Uchoraji

Nimependa picha zako zinaonyesha jinsi gani ulivyo talent Na zinanyesha uhalisia Kaza buti Mbuyu ulianza kama mchicha
 
Daaah hii thread imenikumbusha mbali sana enzi za Mwl. Lulabuka!! Dah nakumbuka kipindi hicho nasoma secondary mwishoni mwa miaka ya tisini, picha za kuchora wana muziki kwenye masaloon ndo ilikuwa habari ya mjini, chini ya Marine and StoneK nilijifunza mengi.... Though nilipoenda A level niliacha kuchora kabisa hadi Leo..
 

Hongera sana. Tupe Picha zako Mkuu. Halafu usisahau Ku Like page yangu tuwe pamoja
 
Hongera sana. Tupe Picha zako Mkuu. Halafu usisahau Ku Like page yangu tuwe pamoja

Picha sinazo hapa zingine ziko nyumbani kwa wazazi... Lbd zile nilizochora mitaani nikazipige picha, ila Nyingi zimefutwa hasa hasa za hapo stand ndogo Arusha, I wish nngekuwa nazitunza daah..... Kuchora kwangu ilikuwa ni njia ya kujifariji na upweke
 
Okay. Hakuna tatizo tupo pamoja. Naamini utanipa ushirikiano napohtaji
 
Kama unahitaji Picha yako ichorwe basi Like Page ya Cyper Tanzania Drawing Art Facebook kisha post Picha yako. Nitaiona na kuifanyia kazi.
 

Attachments

  • 1398099282147.jpg
    64.8 KB · Views: 186
jamani unajua kuchoraa hongeraa natamani unichore namimi..nina picha mbili nliwaambia wachoraji wanichore wakakosea kabis yaan hawajanipatia..nahis wewe utaweza...
Ulikuwa umevaaa nguo au ulikuwa umevaa suti ya asili? Kama ni suti ya asili hata mimi ningekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…