Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,140
- Thread starter
-
- #21
unajitahidi sana mkuu ila kuna jamaa mmoja da huyo ni kiboko amenichora mpaka watu wamesema nimekuza picha yuko safi kiuchoraji ningekuunganisha nae ila upande wa mitandao kama JF au facebook
yuko nyuma sana mpaka kero.
Kupaint ndo shida
Ndio. Bado sijawa mzuri kwenye painting
nataka kujua kuhusu painting
Unahitaji kujifunza kwanza aina za rangi na namna ya kuzichanganya
Good job
Bado hujawa vizuri kwenye shading..
nitafute nikupe darasa.
Keep it up!
Hongera sana aisee,kazi nzuri