Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

Hii WaTZ wengi hawawezi ila ni tamu sana ukimpata muelewa!
Na lengo langu la kuanzisha huu uzi ni kupata watu wa aina hiyo,japo inakera kuona wengi wanajua ONE NIGHT STAND ni kununua MALAYA/CHANGUDOA
 
Hahaha et "chapa ilale sitaki shoboo"....mkuu kuoa/kuolewa ni kitu cha ajabu sana ambacho kinatokea muda wowote pasipo kutegemea mpaka mwenyewe unabaki unashangaa hivi kweli mimi/fulani anaoa/anaolewa...ndoa achana nayo nothing can stop it kama ikiamua kutokea
 
wewe ni ke/me?
 
Usiku mmoja uliosimama [emoji23][emoji23] givi ndio manaa yake kiswahili

Ila hii one night acha tu
Kama mtu anashindwa hata ku-google maana yake,huyo mtu hafai kwenye jamii ya ONE NIGHT STAND maana hii jamii inahitaji watu waelewa na wastaarabu sana pia(Highly Civilized people)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…