Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

Habari zilizotufikia hivi pundi ni kuwa huyu jamaa kashamtangulia Lowassa...






Kweli huyu Lowassa si mtu wa kisportsport
Eeeh kwani huyu naye yupo kwenye ile list ya walio mkashifu yule mzee ?
 
Soma hhapa...

Kama movie vile ,hapa wananikumbusha mishe za Michael Corleone kuondoa wabaya wake akiwepo na kaka yake Freddo kwenye movie ya Godfather

Ukiwa na imani ndogo unaweza kudhani kuna kamtandao ka Sicilian Mafia wanafanya yao ,kumbe hamna watu wanapotea kwa natural death

Au laigwanani amepasua chungu cha kimaasai nini ? Wanasema ile haichagi hata unyayo
 
Huyu Edoboy nadhani kuna mahali kapakamata...

Hawa jamaa waombe poo, wataisha wakifanya masihara!
 
Huyu Edoboy nadhani kuna mahali kapakamata...

Hawa jamaa waombe poo, wataisha wakifanya masihara!
Aisee inabidi wafanye hivyo ,halafu huu ukimya wa Laigwanani huwa unanitisha na pia ana mahesabu ya mbali sana ,kuna possibility jamaa anaweza kurudi kule alikotoka 2020 wampe bendera apeperushe ikiwa huyu wa sasa ataendelea hivi
Si unaona specialist wetu wa ndovu kasema jamaa ni rafiki yake na huwa wanapigiana simu
 
Nami namuahidi kura yangu...

Zee vumilivu sana hili...

Lipewe tu nchi tuone itakuwaje...

Ngosha kashatukimbiza vya kutosha
 
Nami namuahidi kura yangu...

Zee vumilivu sana hili...

Lipewe tu nchi tuone itakuwaje...

Ngosha kashatukimbiza vya kutosha
Hahahaha ngoja tunyamaze zetu tuendelee kusoma tu mchezo ,alipo tupo ,siasa ni mchezo mchafu kama wanavyosema wenyewe masaa 24 ni mengi sana kwa mwanasiasa lolote laweza kutokea
 
Umelitupa jiwe gizani.
Mbona tumejaa humu jf, tena wa kumwaga?
Wewe siyo Mnyamwezi. Ni mnyanyembe. Ungekuwa mnyamwezi ungejibu maana ya maneno aliyouliza mleta mada.
Kwa kifupi, Wanyanyembe ni Wanyamwezi wasiyojua kinyamwezi, kama mimi na wewe.
 
Mdau naona kama Njiwa anaingia kwenye mtego wa karanga na mchele
Nilikutakia baraka ufanikiwe mpaka ushangae naona inaelekea kujibu all the best mkuu

NEXT LEVEL weweee ilikuwaje ukamkuwadia Yamakagashi wakati mwanzo alishasema hazitaki mbichi hizi? au umemfunulia siri ya utamu wa mizigo mizito?
 
Oooh no paper imeleak duh
Ila usijali pamoja na yote
Zawadi ya Ushindi umeikaribia vita ya Kagera imekwisha cha msingi nikuomba usipate accident safarini kurudi Dodoma toka Mtukura.
All the best...

Hhahahahahahhahaaaa ati paper ime leak......
 
Hahaha wewe jamaa lazima usimamie ndoa yetu ,hii vita tumepigana pamoja

Ila bado sana Kassie anaweza kuamka kesho kwa anayopewa na babu usiku wa leo akaishia kuniona kama mkia wa mbuzi ,upo tu lakini sijui una kazi gani

Finger crossed tuombe uzima

Worry not, Kasie is very fine just missing you....... take a good care of yourself on this weekend...
 
kasinde umenikumbusha enzi za mwinamila
 
Worry not, Kasie is very fine just missing you....... take a good care of yourself on this weekend...
Always have and always will sweetie

I hope the presentation went well though i don't doubt you but im just concerned

On your way home Grab a bar of chocolate or any Cognac of your choice
Get in a jacuzzi with glass of champagne ,candles are lighted with Mariah Carey song always be my baby on the background imagining me holding you in my arms and crying tears of joy ,You know what i mean
And yeah i like it when you call me dady

I know you are exhausted sweetie

I miss you dearly till another time take care of your sweety self and be a good girl

Dady loves u
 

Babuuuu muda wote huo wa miezi 9 ntaomba unisaidie kitu kimoja tuu...... kunibebea kopo la kutemea mate tuu popote niendapo basiiiii mengine yote haina shida.... you know how much Kasie laaab uuuuu......

Halafu babuuu, kumbe huyu Yamakagashi ni mzee mwenzio eehh...... mie ndo najua leo siku zote hizi hukunifahamisha...
 

Hhahahahahahhaaaa you know what.........

By the way you know it, unanifanya maruhani ya kuanza kuimba yashuke saa hii hehehehehehee

You'll always be a part of me
I'm part of you indefinitely
Boy don't you know you can't escape me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby
And we'll linger on
Time can't erase a feeling this strong
No way you're never gonna shake me
Ooh darling 'cause you'll always be my baby

lets sing together please..... cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…