Aha ha ha ha!!Acha kukurupuka. Soma vzuri Uzi wa Mleta Habari. Yeye anataka sehem ya kujenga kibanda cha kuanzia Maisha. Sasa mambo ya kulima mihogo inatoka wapi!? Kwani kaulizia anataka Shamba!?
Aha ha ha ha!!Acha kukurupuka. Soma vzuri Uzi wa Mleta Habari. Yeye anataka sehem ya kujenga kibanda cha kuanzia Maisha. Sasa mambo ya kulima mihogo inatoka wapi!? Kwani kaulizia anataka Shamba!?
Acha kukurupuka. Soma vzuri Uzi wa Mleta Habari. Yeye anataka sehem ya kujenga kibanda cha kuanzia Maisha. Sasa mambo ya kulima mihogo inatoka wapi!? Kwani kaulizia anataka Shamba!?
Kwa usalama wa chanika sio shwari kabisa, hata mwezi haujapita panya road wamemvamia mtu nyumbani kwake, wakambaka mke wake mbele na yeye wakamuua kwa kumchoma mkuki wa ubavu
Kupanga vyumba vi3..
Mhhh