kuna pahala nilisoma pameandikwa..........if you are afraid of loneliness, do not marry
sasa sijui kuna ukweli hapo....manake people do really cheat ( kasoro mume wa natalia tu)
Taarifa baada ya habari!!!!!!
Kucheat kunaruhusiwa kimtindo especially mamaa anapokuwa amejifungua na analea ila ndomu kama kawaida na usiruhusu nyumba ndogo itawale familia yako bana. mamaa akipona rudi nyumbani bana na nyumba ndogo piga chini!!!!!the most important thing is that do whatever you can mamaa asijue ulicheat!!!!!!
Kwa kweli ni tamaa. Bahati mbaya ghost hilo limeanza kuni-haunt,ila nalipinga kwa nguvu zote na ninaomba Mungu anisaidie. Tatizo vibinti vya sasa vinavaa very nasty and tempting clothes, ninaweza hamishia hasira kwa mke wangu(kwanye mamboz) but kesho tena nikiona ni yaleyale. Sijawahi msaliti mke wangu, ila tabu ninaipata.
lara1, wewe ni mkali...si kwa sababu ya kubadili avatar yako, bali ni aina ya majibu ambayo huwa unayatoa ....mimi binafsi nayakubali.[QUOTE=lara 1;5020867]THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss![/QUOTE]
kutoka nje ya ndoa ni tabia tu,kama zilivyo kuvuta sigara na pombe kupita kiasi.kujirekebisha is the only solution.na kuwa na muda na mwenzi wako,jaribu kumpa muda zaidi pamoja na wewe,mzunguke wote pamoja,mueleweshane,,,mambo mswano,mtasonga.