CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
Tamaa ndio zinasubua ndoa nyingi.
swala la wanawake kujisahau napinga kiasi fulani, maana wadada wa siku hizi kwakweli wanajipenda sana.
alafu kama unaona mwenzi anajisahau si umueleze na pia uchangie kumuweka up to date.
kwa mfano, mwanaume anapenda mwanamke mwenye chain kiunoni, lakini hamnunulii. yupo radhi aifuate kwa kimada.
si kweli haya ni maneno ya wanaume kujustify matendo yao.
tuliambiwa ndoa ni kuvumiliana kufundishana na kukamilishana mnatakiwa mtambue kuwa mwanamke anapojifungua pia nae hutamani na wewe uwepo kumfariji na kumsaidia kazi ya ulezi ni ngumu na inahitaji busara kuendana nayo. sasa ukienda nje unakuwa umemsaidia nini au umeanza kuongeza matatizo hata huko nje nae akipata mtoto anaweza akawa hivyohivyo. cha msingi ni kumuelekeza mkeo kuwa amejisahau na anatakiwa kukukumbuka.anatakiwa kuwa msafi anatakiwa kuwa hivi na vile.
Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!
Mimi huwa nashangaa wanawakewanaowapa waume za watu mapenzi
hao wake zao ni wa nini? K
tatizo wanandoa wengi huwa wanashindwa kufungua / kuzungumza na wenzi wao.. mf. kuna mwingine anapenda kuwa rough wakati wa tendo la ndoa.. lakini wakiingia katika ndoa wanajidai kuwa kama wazee... wanafanya tendo la ndoa kama wanaogopana.. hapo lazima mmojawapo atacheat kwa kutafuta wa kumtosheleza...
swali kwenu wanandoa wanaume.... je yale unayomfanyia kimada wako au anayokufanyia ushawahi kuyafanya kkwa mkeo... hujui kwamba nae anapenda?
Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango
Jiulize inakuwaje watu wanakuwa faithful kwa gf zao lakini once wanapokuwa wife wanaanza ku cheat?
1. nimependa hiyo signature yako
2. Kinachoboa ni ile kurudia rudia kila mara kumweleza hayo matatizo.... wakati anajua ni wajibu wake, wengi wanatumia mtoto kama kinga ya kukwepa majukumu ya msingi. sisi wengine mabishano hatujazoea.
nahisi huwa wanaogopana.. na kuhisi kuwa wanatakiwa kuishi kibaba na mama tuuuu... kumbe wanatakiwa kuendeleza yale yote yalokuwa yanadumisha uhusiano wao..
wengine wakishafunga ndoa outing zinaisha, zawadi, surprise vyote vinaisha... kwanini mwenzio asicheat???