Haya bwanaaaa. Ulale salama na wengine woteee. Na wasiokuwa na usingizi tuitane tutie hadisi. Mi nitaleta ubuyu wa Unguja pale mtaa wa Kiponda.
love you too!! good night darling...
Kabisaa wa afya hofu kwako tu rafiki.
Pamoja sana rafiki ondoa hofu.Nafurahi kusikia hivyo, nami ni mzima wa afya. Usipotee sana my friend
Hata iwe tamu. Naomba kujua ingredients zake na inatengezwaje best.
Pamoja sana rafiki ondoa hofu.
Usitake kabisa kuijua kiundani ila kwa dokezo tu kuna kinachokamuliwa kwenye utumbo wa chakula afu mix ya nyongo..unaweza kutapika!
Mwita Maranya
Hulali? Za kupotea lakini?
Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha yetu ya kila siku.
Pia namshukuru M.Mungu kwa kua nipo hai kwa kunipa pumzi ya bure kabisa ambayo siilipii na mzima wa afya,
Nachukua fursa hii kuwaombea wagonjwa ,wasiojiweza, ,Muumba awatie nguvu mrudie katika hali zenu za kawaida
Pia roho wachafu, umaskini,mashetani yashindwe na yalegee kwa uwezo wa alietuumba na kutupa mamlaka katika dunia hii.
Pia tuwe wavumilivu kama Ayubu, tujifunze kusamehe kama Mola wetu anavyotusamehe makosa yetu
NAWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NDOTO NZURI
nawapenda nyote,!!
kweli wanaume tumeumbwa kiajabu...
mie nikiona pua ya shemeji Dinazarde nasikia raha ya ajababu sana
ndo mana napenda kuiangalia kila saa
nakubaliana nawe mkuu..
Marhabaa..
01:46 am