Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

Raha ya chuo first year bhana ila ukipat sup unaanza kupotea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ naona SUA hamna ubishoo
 
oho wacha ww mwnye A ya 78 na mwenye A ya 80 wanatofauti kubwa sana๐Ÿ˜…. C ni 50. bado practical test nazo yan ilimuradi ufel tu๐Ÿ˜‚
Sio kwelu kuwa hivyo vipimo vimewekwa ilimradi ufeli....mbona kuna wanao faulu kwa vipimo hivyo hivyo...ukifanya mchezo ukafikiri bado uko shule ya upili utafeli kweli
 
september conference๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ukipata bahati ya kuchaguliwa SUA, nenda kasome kweli....Lakini usiogope sana soma+fanya mambo mengine kwa kiasi.....
Usiogope Sup, ni sehemu ya safari katika masomo yako, hivyo basi unaweza pata ama usipate kikubwa soma kwa bidii
 
Mdogo wangu kachaguliwa sua Kama upo uko naomba kujua Bei za vyumba vyakuishi zinacheza kweny ngapi kwachumba chakawaida
  1. Kawaida sana - 25k mpaka 34k kwa sasa si rahisi kukipata sababu ya population kubwa ya wahitaji.
  2. Kawaida - 35k mpaka 50k vimejaa sana maeneo ya Falkland.
  3. ...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ