Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,487
HahahhaHamkuambiwa kwamba sua ni mtego 😂😂
[emoji1][emoji1]Hamkuambiwa kwamba sua ni mtego [emoji23][emoji23]
Na wafuate kilichowapeleka maana SUA unaweza disco either kwa CREDIT HOUR or GPA hao wazee hapo hawana hurumaHeshima kwenu wadau wa JF!
Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA...
nawapa polee😂😂😂 GpA zetu huku tunelewana wenyewe tu mambo ya 4.8 sijiu 7 mara 6 hayapo hizo ni Gpa za ifm 😅😅[emoji1][emoji1]
Wasije sema hawakujua.
HAPANA!Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu. Mo graphics 2019 CHIEF WINGIA Wakusolve
General Studies - F
History - E
Kiswahili - D
English - E
Division - 3 points 14
Sasa nauliza huyu anaweza kwenda kusoma degree?
[emoji1][emoji1][emoji1] Plus Sup za kutosha. Mpaja unapewa cheti chako kwa kweli unakua umesota hatari...nawapa polee[emoji23][emoji23][emoji23] GpA zetu huku tunelewana wenyewe tu mabo ya 4.8 sijiu 7 mara 6 hayapo hizo ni Gpa za ifm [emoji28][emoji28]
Hapo mtaftie vyuo vyo Diploma, Degree haitowezekana.Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu. Mo graphics 2019 CHIEF WINGIA Wakusolve
General Studies - F...
Chuo gani Chief?HAPANA!
mimi pia nililipata hivyo nikasoma diploma
SUP sua ni swala mtambukaa[emoji1][emoji1][emoji1] Plus Sup za kutosha. Mpaja unapewa cheti chako kwa kweli unakua umesota hatari...
[emoji1][emoji1]Na wafuate kilichowapeleka maana SUA unaweza disco either kwa CREDIT HOUR or GPA hao wazee hapo hawana huruma
Sokoine university of Agriculture big upHeshima kwenu wadau wa JF!
Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA.
Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya kuzingatia n kama ifuatavyo:
[emoji117]Chuo kina hostel chache, hua wanatoa priorities kwa mwaka wa kwanza na Wadada wanaoendelea na masomo. Hivyo kama kukaa Geto sio option kwako basi fika mapema fanya Usajiri ili upatiwe Kitanda chako mapema.
[emoji117]Chuo kiko ndani kidogo. Hivyo hata vyumba vya karibu na chuo ni vichache. So kama unataka kutafta chumba kizuri. Maeneo ya karibu na chuo fanya kufika mapema kabla week ya kwanza haijaisha.
[emoji117]Mwisho niwakaribishe sana Sokoine University of Agriculture.
View attachment 1948492View attachment 1948494View attachment 1948493View attachment 1948495
Unaweza soma chuo chochote ili mradi kuwe na pendekezo lakoChuo gani Chief?
Sio hawana huruma, ni mfumo mzuri mimi kwa hili nawaunga mkono.Na wafuate kilichowapeleka maana SUA unaweza disco either kwa CREDIT HOUR or GPA hao wazee hapo hawana huruma
oho wacha ww mwnye A ya 78 na mwenye A ya 80 wanatofauti kubwa sana😅. C ni 50. bado practical test nazo yan ilimuradi ufel tu😂Sio hawana huruma, ni mfumo mzuri mimi kwa hili nawaunga mkono.