Kwa wana jf

K-killer

Senior Member
Nov 14, 2011
147
28
I mite be a cat/machine/human or any asset but as long as I live in TANZANIA I bliv I nid a change in my country,and it shud start within us..I bliv am in the right place...I av been reading this forum fo years now but I bliv ths I high tym that I join my contribution..I know 2getha we can and the ones outside the box u jst av to kill and eliminate them..Once u allow a trator or giv him/ha a second chance then u av jeopordise yo achievement to the aimed goal...
 
karibu bana.......lakini andika maneno yasomeke sawasawa kama unaandika kiswahili au kiingereza,
usiandike kama upo facebook.
I mite be a cat/machine/human or any asset but as long as I live in TANZANIA I bliv I nid a change in my country,and it shud start within us..I bliv am in the right place...I av been reading this forum fo years now but I bliv ths I high tym that I join my contribution..I know 2getha we can and the ones outside the box u jst av to kill and eliminate them..Once u allow a trator or giv him/ha a second chance then u av jeopordise yo achievement to the aimed goal...​

karibu bana.......lakini andika maneno yasomeke sawasawa kama unaandika kiswahili au kiingereza,
usiandike kama upo facebook.

By the way anakaribishwa jamvini, ila kweli ajue humu ni kwa great thinker, so mambo ya uso wa kitabu hayana nafasi. Tunahitaji mchango wake but in the right way. Huu sio muda wa kufanya home work humu.
 
Sijakuelewa nini umeandika. Jaribu ku-edit post yako upya.
 
Hapa watu wako busy na mambo yao pamoja na kwamba wana muda wa kupita hapa kusoma na kuchangia mada, hivyo huna sababu ya kuandika "kirumi" halafu wanajamvi wapate shida kuelewa, inawapotezea muda. Hii sio fb au sms
 
Wajameni,
kuhusu namna alivyoandika huyu mgeni wetu nadhani mmemsahihisha na atakuwa ameelewa. Tuendelee na hoja yake sasa.

Karibu sana mgeni. Jisikie upo nyumbani. Kumbuka kupitia rules za hapa maana siku zote vigezo na masharti vinazingatiwa.

Pamoja na mambo mengine kama spoti, urafiki. Elimu, afya nk, tupo kwenye mkakati wa kuelimishana, kushauriana, kukumbushana na kupambana kulikomboa taifa letu kutoka kwa akina Mwita25, Faiza Foxy, Malaria sugu, Mzee, na wenzao.

Karibu sana
 
Mkuu! Usiwasahau na hawa: ritz,Rejao, thatha,,,,,,,,,,,,na wale wengine. Karibu sana Best!
 
reidel-beer.jpg
 
Back
Top Bottom