Big up Masa! Mimi naku support hasa kwenye swala la nyumba. Nitoe maoni tu kama yata add value kwamba instead ya kujenga kitu kitakachokaa muda mfupi basi ningekushauri kuwa organize vijana kwenye jimbo lako kutengeneza small companies za ujenzi alafu wakiwa in those group of companies unawezesha kuwatafuta wataalamu wenye vyeti vya VETTA kulingana na fani zao one in each group. So kutakuwa na hao watakaosaidia kufytua matofali company moja, waashi company nyingine etc. Baadaye over all unatafuta Civil engineer mzalendo mmoja atayekuwa akitoa consultancy kwenye hivyo vikundi lakini kwa makubaliano rasmi kwamba hivi vi company viki breakthrough watalipa hiyo consultance fee kwa huyo mzalendo na wewe ukiwa garantor (SP?) wao.
Then mnaanza kupanga vijiji/ mitaa depending on needs na kuingia mikataba ya hiari (Long term) na raia wenye hitaji la nyumba kuwajengea nyumba zao nzuri spacious na zenye garden za nguvu maana huko rural ardhi siyo issue kubwa. Kazi yako kama mbunge mtarajiwa tafuta seed money (Funds) siyo nyingi sana kusaidia kuweka misingi kwenye hizi companies tafadhali usipeleke hii issue kwa wafadhili (foreigners) utashindwa kabla ya kuanza. Unaweza uka solicite funds from various internal sources..kumbuka hao ni vijana ambao hawakuwa na kipato so usiwape pesa bali posho kidogo tu za kujikimu wakati wakianza; so before anything fanya baseline kuona kipato halisi nikiasi gani in the specific area ili chochote watakachokipata from their companies wakithamini na kuona ni jasho lao wenyewe (To develop sense of ownership).
Then wakiweza kujenga nyumba ukianza kwa wale wenye kipato ili waweze kulipa kwa haraka...una saidia kuwa na leagal facilite itakayowezesha agreement huku wewe uki mediate. Umtafute mzalendo pia kwa consultancy tu how to draw simple and applicable agreements. Na hivyo hao first phase wakianza kulipa companies zina anza kuwa liquidated so wanaendelea na hizo firm zao kuwajengea na wengine na wengine mpaka hatimaye inakuwa ni permanent thing...Utawapa vijana ajira na family zao makazi mazuri.
Wewe mbunge mtarajiwa utakuwa na kazi ya kutafuta other ways za kuraise income za wapiga kura wako ili waweze lipia hizo nyumba zao...Maana watatakiwa kulipa may be in 20 years for example. Malipo yakifanyika kwa installment ukitoa grace period ya may be one season ya kuvuna mazao na kuuza. Care International wana models za payment kwaajili ya hizo programs hata za nchi nyingine kama Bangladesh and the like.
Implementation wont be straight lakini utakuwa na lessons learnt na ku improve as you proceed. Masa Ukishafanikisha after so many years unikumbuke nije kutembelea tu nitafarijika sana na wakati huo tutafungua shampen pamoja na wapiga kura wako!
Nakutakia yote mema katika kufikia malengo yako